Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

wewe bado unareseat mitihani hakuna hata kitu kimoja umeweza kufanya mashani zaidi ya kuiba simu
Mkuu kuna watu wanajifanya wana elimu sana but ni watu wa Kuganga njaa kila kukicha na hata hawajaweza kubadili maisha ya familia zao. Elimu si ishu
 
Wewe Mjinga tuambie Elimu Yako ya Degree moja imekusaidia vipi? Ok mbowe ana Div 0 ila anapesa zake na hana njaa kama wewe, elimu yako ni kwa ajiiri ya kuwalamba wenzako miguu? Huu ni ujanga sana, Wabongo tunakaa kujadili elimu wakati sisi elimu zetu hazijaleta Changes yoyote ile.

Yote hii ni kumtetea Mbowe? Kwanini tusiamini kuwa na wewe ni mlamba miguu wa Mbowe?
 
Ukiwabana sana watakudanganya kuwa amesoma Cambridge university online! ila ukweli unajulikana Mbowe alipiga divisheni five Kavu!

Kwani Kupiga five ni ishu? mtabakia kuongelea elimu wakati nyie ni waganga njaa tu mnategemea wengine, pamoja na elimu zenu bado unaishi kutokana na Dreem za watu wengine, yaani unatekeleza ndoto za mwanamme mwingine
 
Yote hii ni kumtetea Mbowe? Kwanini tusiamini kuwa na wewe ni mlamba miguu wa Mbowe?

We acha ujinga mimi si mtetei mbowe na tetea hali ilivyo, Elimu si ishu sana, Uingereza ilisha wahi kuongozwa na waziri mkuu aliye Drop shule, but aliongoza maprofesa. Ninacho taka wewe tuambie elimu yako imekusaidia nini zaidi ya wewe kuwa mtumwa wa wanaume wengine? mimi siko hapa kutetea mtu ila mimi sijawahi amini katika elimu hata siku moja, unaweza kuwa profesa ukaishia kubaka tu na mwingine akawa hata hajaenda shule lakini akafanya mambo makubwa sana katika nchi
 
Ukiwabana sana watakudanganya kuwa amesoma Cambridge university online! ila ukweli unajulikana Mbowe alipiga divisheni five Kavu!
Mumejaribu kushusha elimu yake hata form six yake hamuhesabii lakii akinaLukuv alimu waupe darasa l saba nio anaedesha nchi eti waziri wa nchi ofisi ya Raisi, Mwinyi mwalimu wa up mpaka akawa raisi Kikwete mwanafunzi wa kwanza kupata GPA 2.0 Enzi hizo mpaka leo yupo IKULU
 
Hawa wote wanaohoji elimu ya Mbowe ni wapumb@vu tu na huwezi kuwaelimisha wakaelewa.Wao elimu ni vyeti tu bila kujua wapo wengi wenye informal education na uwezo wao ni mkubwa sana kuliko hao wanaoitwa ma dr sijui wengine ma prof.Na hasa kuna watu waliobahatisha bahatisha vi degrii wanakuwa na kelele sana,ukikutana nao mtaani wameshindwa hata kujiongoza wao wenyewe.Kama mtu ameshindwa kujiongoza mwenyewe atawezaje kuongoza watu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Kama wenye shahada wanadharaulika, wanashindwa kujiongoza, sipati picha kuhusu changamoto wanazozipata wenye elimu ndogo zaidi.
Hakuna taasisi itakuwa na maisha marefu ikiwa itaruhusu watu wenye akili ndogo kuwaongoza wenye akili kubwa

Sent from ny Nokia 3310
 
Wewe umesoma YEMEN, Na tuambie elimu yako imeleta mabadiliko gani hata kwa ukoo wenu zaidi ya kuishia kuwa mtumwa na kuganga njaa. Walio ibadili USA wote hawakuwa na Elimu yoyote ile na wengine iliwabidi wakimbie shule,
Wewe msukule wa Mbowe naona povu linakutoka ovyo, Elimu ni muhimu kwa kiongozi si una wewe ulivyo ungekuwa na elimu unadhani ungekuwa mtumwa wa Mbowe.
 
Kama wenye shahada wanadharaulika, wanashindwa kujiongoza, sipati picha kuhusu changamoto wanazozipata wenye elimu ndogo zaidi.
Hakuna taasisi itakuwa na maisha marefu ikiwa itaruhusu watu wenye akili ndogo kuwaongoza wenye akili kubwa

Sent from ny Nokia 3310

Kwa kipimo chako wewe akili ndogo ni sawa na madarasa machache na akili kubwa ni idadi kubwa ya vyeti?kama tafsiri yako ndio hiyo basi akili kubwa si hitaji la muhimu kabisa katika maendeleo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nusra ange Discontinue!!! Toba Rabi!!! Shusheni GPA boundaries hapa 4.4 -5 First Class, 3.5 -4.3 Uper Second, 2.5-3.4 Lower Second, hivi pass inaanzia ngapi ila najua ipper limit yake ni 2.4?? Aisee, majanga!!

Je mwanakiji GPA ya huyo ya huyo Dr anaewaona viongozi hawa na elimu GPA yake 3.3. tena HATA kazi sijui aliptaje Chou Maana ILI upate ajira Chou unatakiwa kuwa na GPA ya 3,8au ZAIDI?
 
Wewe msukule wa Mbowe naona povu linakutoka ovyo, Elimu ni muhimu kwa kiongozi si una wewe ulivyo ungekuwa na elimu unadhani ungekuwa mtumwa wa Mbowe.

Wee Kenge, hii comment ya Lwesye hukuiona? Ijibu sasa! Mumejaribu kushusha elimu yake hata form six yake hamuhesabii lakii akinaLukuv alimu waupe darasa l saba nio anaedesha nchi eti waziri wa nchi ofisi ya Raisi, Mwinyi mwalimu wa up mpaka akawa raisi Kikwete mwanafunzi wa kwanza kupata GPA 2.0 Enzi hizo mpaka leo yupo IKULU
 
Nusra ange Discontinue!!! Toba Rabi!!! Shusheni GPA boundaries hapa 4.4 -5 First Class, 3.5 -4.3 Uper Second, 2.5-3.4 Lower Second, hivi pass inaanzia ngapi ila najua ipper limit yake ni 2.4?? Aisee, majanga!!

Je mwajua GPA ya huyo Dr anaewaona viongozi hawana elimu GPA yake 3.3. tena HATA kazi sijui alipataje chuo kikuu Maana ILI upate ajira Chuo kikuu unatakiwa kuwa na GPA ya 3,8au ZAIDI?
 
we cha', kama ni hivi basi udokta tutaanza kuuogopa. Kuwa na vyeti si kuelimika na kuwa na akali, si muangalie mfano wa Mh. John Mnyika Vs wachumi wetu hawa wa daraja la kwanza?
 
Je mwanakiji GPA ya huyo ya huyo Dr anaewaona viongozi hawa na elimu GPA yake 3.3. tena HATA kazi sijui aliptaje Chou Maana ILI upate ajira Chou unatakiwa kuwa na GPA ya 3,8au ZAIDI?

Aisee mkuu kama kweli alipata kazi na 3.3 GPA kuwa mhadhiri ni majanga!!! Hata mimi ninajua ili uwe mhadhiri ni 3.8 na Thesis/Dissertation upate B+. Ndiyo maana nasema Kitila yuko chuo kwa ajili ya kufanya kazi ya System!!! Take my words. Naomba mwenye script ya matokeo yake ya undergraduate amwage hapa, hata masters pia.
 
Mimi swali langu ni hilo tu.

Elimu ya mzee A. Mwinyi kwa mtu aliyezaliwa 1925, inaonyesha alikuwa na uwezo mkubwa kiakili tofauti na Mbowe wa 1961 na bado akashindwa kufaulu form 6 licha ya kutokea kwenye familia inayojiweza. Ni wazi kuwa kielimuni Mzee Mwinyi ni msomi kuliko Mbowe na ndio maana alikuwa na uwezo wa kupambanua kuliko Mbowe.

Lakini suala hivi sasa sio elimu tu, ni kuwa Mbowe ameshakaa madarakani vya kutosha. Wakati umewadia kwa damu mpya na bahati nzuri wapo wenye uwezo na niwasomi kuongoza CDM.
 
Muheshimiwa amesoma "madrasa takaful islamiya bin hija"..

kamaliza mpaka juzuu tano, ambazo kidunia ni digirii mbili!

ka! ka! ka! ka! ka! ka!

JF BANA! RAHA...
 
We acha ujinga mimi si mtetei mbowe na tetea hali ilivyo, Elimu si ishu sana, Uingereza ilisha wahi kuongozwa na waziri mkuu aliye Drop shule, but aliongoza maprofesa. Ninacho taka wewe tuambie elimu yako imekusaidia nini zaidi ya wewe kuwa mtumwa wa wanaume wengine? mimi siko hapa kutetea mtu ila mimi sijawahi amini katika elimu hata siku moja, unaweza kuwa profesa ukaishia kubaka tu na mwingine akawa hata hajaenda shule lakini akafanya mambo makubwa sana katika nchi

Mkuu suala la Mbowe kupata divisheni zero halina mbadala wake, call a spade by its name!
 
Back
Top Bottom