White House: Obama- Castro handshake not ‘pre-planned’

bmalale

Senior Member
Mar 30, 2011
466
24
WASHINGTON, Dec 10 – President Barack Obama’s handshake with Cuba’s President Raul Castro Tuesday at a memorial service for the late South African leader Nelson Mandela was not “pre-planned,” a US official said.

[h=3]White House[/h]
 
Hawa watu wanashanga za sana.

Wao wanamsifia Mandela kwa kusamehe watu waliomfunga miaka 27, kuua ndugu zake na kuwabaka pamoja na kuwanyima vizazi vya ndugu zake elimu. Lakini wao mtu wanayetofautiana naye ambaye hajawafanya chochote kama Castro kugusana naye mkono tu wanaona big deal.

Kwa lugha nyingine ni kama wanamuona Mandela mjinga sana kuwasamehe makaburu!!!
 
Republicans ni watu wa ajabu sana. Naona sasa wanapita mipaka na kuingia kwenye siasa za kishabiki badala ya "pragmatic politics". Ni wazi sasa wao wanapinga chochote kile Obama anachofanya, hata kama ni kizuri.

Jana wakati wa msiba wa Mandela Obama alishikana mkono na Castro katika kuonyesha kwamba yuko tayari kusahau yaliyopita na kuganga yajayo, hasa katika spirit ya "Ubuntu" (ubinadamu) ya Mandela. Sasa Republicans wamekuja juu wakisema alichofanya Obama ni sawa na na kujaribu kuwafurahisha Manazi wa zamani wa Ujerumani.

Ikumbukwe kwamba Republicans, chini ya Bush Senior, waliishauri serikali ya Makaburu wa Sourth Afrika isimwachie huru Mandela mwaka 1990.

Republicans were left steaming on Tuesday after President Barack Obama shook the hand of Cuban leader Raul Castro, with one senior lawmaker likening the act to appeasement of the Nazis

"It gives Raul some propaganda, to continue to prop up his dictatorial, brutal regime, that's all," said Senator John McCain, who lost against Obama in his 2008 bid for the White House. "It was a mistake to "shake hands with somebody who is keeping Americans in prison"

Senate Republican James Inhofe said the handshake was "not appropriate".

Congresswoman Ileana Ros-Lehtinen "sometimes a handshake is just a handshake, but when the leader of the free world shakes the bloody hand of a ruthless dictator like Raul Castro, it becomes a propaganda coup for the tyrant"

Hey Republicans, ubuntu madoda, ubuntu!

Source: Africa Press Review
 
Ndo maana Bush hakwenda? Wana ya kwao.

Untitled.jpg
 
Republicans ni watu wa ajabu sana. Naona sasa wanapita mipaka na kuingia kwenye siasa za kishabiki badala ya "pragmatic politics". Ni wazi sasa wao wanapinga chochote kile Obama anachofanya, hata kama ni kizuri.

Jana wakati wa msiba wa Mandela Obama alishikana mkono na Castro katika kuonyesha kwamba yuko tayari kusahau yaliyopita na kuganga yajayo, hasa katika spirit ya "Ubuntu" (ubinadamu) ya Mandela. Sasa Republicans wamekuja juu wakisema alichofanya Obama ni sawa na na kujaribu kuwafurahisha Manazi wa zamani wa Ujerumani.

Ikumbukwe kwamba Republicans, chini ya Bush junior, waliishauri serikali ya Makaburu wa Sourth Afrika isimwachie huru Mandela mwaka 1990.

Republicans were left steaming on Tuesday after President Barack Obama shook the hand of Cuban leader Raul Castro, with one senior lawmaker likening the act to appeasement of the Nazis

"It gives Raul some propaganda, to continue to prop up his dictatorial, brutal regime, that's all," said Senator John McCain, who lost against Obama in his 2008 bid for the White House. "It was a mistake to "shake hands with somebody who is keeping Americans in prison"

Senate Republican James Inhofe said the handshake was "not appropriate".

Congresswoman Ileana Ros-Lehtinen "sometimes a handshake is just a handshake, but when the leader of the free world shakes the bloody hand of a ruthless dictator like Raul Castro, it becomes a propaganda coup for the tyrant"

Hey Republicans, ubuntu madoda, ubuntu!

Source: Africa Press Review
Una uhakika na ulichoandika hapo angalia red ones!!
 
Una uhakika na ulichoandika hapo angalia red ones!!

Wee Maarifa usiniletee akili za wendawazimu hapa. Mimi nimeandika Bush Senior, wewe umeandika Bush Junior, sasa unachosema nina uhakika na nilichoandika ni nini? Wewe ndio unapaswa kujiuliza hilo swali. Unaelewa maana ya senior lakini?
 
Nimesema tuna mediocre humu,watu hawa research kabla ya kuandika.

Hivi mie kwenye post nimesemaje, Bush Senior au Junior? Sasa Mandela aliachiwa 1990 nani akiwa Raisi, Bush Junior au Junior? Mnaelewa maana ya Junior na Senior lakini? Angalia nani ni mediocre mind ukiangalia hapa;

GeorgeW Bush (Junior)
43[SUP]rd[/SUP]US President
January20, 2001 – January 20, 2009
George HW Bush (Senior)
41[SUP]st[/SUP]US President
January20, 1989 – January 20, 1993

Tatizo mnavuta bangi zilizochanganywa na kinyesi halafu ndio mnakuja huku JF
 
Hata waseme ila ki ukweli Mandela kawafunika sana tena sana coz kaonesha kuwa hizi ni enzi za kizazi kipya wala sio kile cha kale cha vita baridi.
 
Back
Top Bottom