white girl
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,361
- 400
Habari zenu wanajf nimeingia jamii forum ni blog nnayoipenda pia huniondolea stress,nikaribisheni jaman

Karibu sana JF...
Ila mbona jina na kipicha chako havishahabiani?
Habari zenu wanajf nimeingia jamii forum ni blog nnayoipenda pia huniondolea stress,nikaribisheni jaman
Karibu. Mimi ndo ntakua mwenyeji wako
Haya ntabadili niweke inayoshabihiana na jina au sio
Haswaaaa, kama ni KE weka inayoendana na KE[/QUOokkk
Haswaaaa, kama ni KE weka inayoendana na KE
Habari zenu wanajf nimeingia jamii forum ni blog nnayoipenda pia huniondolea stress,nikaribisheni jaman
Karibu sana jamvini white girl.