Which would you choose?


Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,541
Likes
118
Points
160
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,541 118 160
I couldn't decide on which category to put this question.
If you could be stuck in a tv for a week,which tv show would you choose to be stuck in?
PS:Guys come on no insults(we have been there before).
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,208
Likes
3,317
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,208 3,317 280
I will stuck on america's next top model......why? bcoz I like it
 
Zasasule

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Messages
1,007
Likes
11
Points
135
Zasasule

Zasasule

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2009
1,007 11 135
i will choose nothing
 
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
39
Points
0
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 39 0
BBC - The Apprentice 2010 - The Official Site
I like one of the reality TV Show.Unfortunately siooni kwenye TV naitazama kwenye laptop Inaitwa The Apprentice. To watch it i had to fake my ip adress using Hidemyipaddress to imitate the UK adress.

Zaidi ya burudani kama Reality TV show nyingine Program hii inafundisha

  • kuonyesha behavior za watu mbali mbali wakiwa kazini.
  • jinsi washiriki wanavyocope na pressure mbali mbali kama muda na limited resources
  • jinsi mahusiano ya wafanyakazi kikazi yanvyoweza kufanikisha au kudhoofisha utendajikazini
  • Umuhimu wa right communication kwenye kazi na ofisini
  • Viongozi au mameneja wanategemea nini kutoka kwa wafanyakazi
  • What impress or unimpress boss
Theme
Washiri kumi na kitu wanataka kupata ajira moja kwa Lord suga ya six figure salaryin term of £. Kila wiki wanapewa task. Yamegawanywa makundi mawili. Mshiriki 1ja wa kundi linalo underperform anaondolewa kila wiki. Siku ya 1ja kufukuzwa waningia kwenye board room kujieleza what went wrong. what did they do.

Wa mwisho kabisa ndo ataajiriwa na huyo tajiri wa UK na kupewa mshahara wa six fugure.

Kwa kweli ni kipindi kizuri kina mafunz katika real life hasa kwa wanfayakazi .nashauri kama una muda jaribu kukitazama.
 
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
39
Points
0
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 39 0
I will stuck on america's next top model......why? bcoz I like it
Naangalia hapa show kwenye Net wakiwa ItalyKia chris Kayla chelsey
ann wakiwa Milan. huyu mwafrika ndo anaitwa Chris? Naona anatukana mwenzake chelsea kupata zawadi

Alafu sijui kwa nini nahisi leo nitakuota P

Teh teh
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,208
Likes
3,317
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,208 3,317 280
Naangalia hapa show kwenye Net wakiwa ItalyKia chris Kayla chelsey
ann wakiwa Milan. huyu mwafrika ndo anaitwa Chris? Naona anatukana mwenzake chelsea kupata zawadi

Alafu sijui kwa nini nahisi leo nitakuota P

Teh teh
vipi....nisimulie basi ilikuwaje
 
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
39
Points
0
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 39 0
vipi....nisimulie basi ilikuwaje
......P Mwisho ulifungulia mbwa anifukuze baada ya kuwa mbishi kuondoka kwenye bangalow lako

teh teh
 
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
39
Points
0
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 39 0
I couldn't decide on which category to put this question.
If you could be stuck in a tv for a week,which tv show would you choose to be stuck in?
PS:Guys come on no insults(we have been there before).
And What about you? hope u wont mention show related to Trigonometry and calculus
 

Forum statistics

Threads 1,205,659
Members 458,033
Posts 28,201,958