Which phone does Donald Trump use?

JMisiru

Member
Jun 12, 2015
73
59
Which phone does [HASHTAG]#donald trump[/HASHTAG] Trump use?
 

Attachments

  • Samsung Galaxy - trump-phone.jpg
    Samsung Galaxy - trump-phone.jpg
    17.1 KB · Views: 41
Inaitwa Airtrump cell phone
Kama Ile ndege yake .Trump air ways. Kuna pia Trump tower iko New York ,Manhattan mkuu ,
 
yani sijui tuna tatizo gani, simu ya trump ya nini, unatufanya sisi google acha hizo
 
Tangu achaguliwe anatumia BlackBerry nasikia ndo iko encrypted, kwamba haiwezi kudukuliwa kama hizi simu za android na ios
 
Trump Yuko na BB ila pia tweets zile anatumia Samsung na Apple, SS wanapata changamoto sana Juu ya kulinda mawasiliano yake
 
Hata kama anatumia simu kutoka Jupiter ikishakuwa access na internet tu basi ni shamba la bibi
 
Back
Top Bottom