Which one is the best? Kwa upande wa ajira unafuu wa maisha kwa ujumla.

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,084
12,407
Habari zenu wakuu,

Mwenye ufahamu wa hizi course mbili ipi Ina unafuu kutokana na Hali ya Sasa ya changamoto ya ajira Kati ya -Water resources and irrigation engineering au laboratory science au (laboratory technology).

Karibuni wakuu kwa mawazo na ushauri mbalimbali wasalam.
 
Soma Uinjinia mkuu ni elimu ya vitendo hutashindwa kuishi mjini mambo yakiwa tight utakuwa hata fundi bomba tu.
 
habari zenu wakuu, mwenye ufahamu wa hizi course mbili ipi Ina unafuu kutokana na Hali ya Sasa ya changamoto ya ajira Kati ya -Water resources and irrigation engineering au laboratory science au (laboratory technology)...
Lab science ni nzuri na option za kazi pia ni nyingi... shuleni, hospitali ama viwandani.

Kwa uzito mie naona gonga Lab Science.
 
Lab science ni nzuri na option za kazi pia ni nyingi... shuleni, hospitali ama viwandani.

Kwa uzito mie naona gonga Lab Science.
Pamoja mkuu shukran kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom