Which is which? Flagship za miaka 2/3 nyuma vs midrange mpya

Chief-Mkwawa , nahitaji kununua kati ya s21 ultra ama iphone 12 pro max, tuseme budget sio shida kwa simu hizo mbili. ipi niruke nayo kwa mawazo yako wewe kama mtaalamu wa tech
 
Inategemea mwenyewe unapenda ios ama Android, kama ni Ios na una uwezo wa ku Afford 13 pro max ni vyema ukaenda 13 pro max badala ya 12 sababu hii ya 13 ipo optimized zaidi.

Kama ni Android s21 ultra ni all around simu nzuri sana.

Kama Hujali kati ya Android ama ios still 13 pro max ni simu nzuri zaidi.
 
Budget ya 13 pro max sina, nahitaji option kati ya hizo mbili!
 
Hivi mnapataga wapi ujasiri wa kuipambanisha iphone na samsung galaxy?

Samsung flagship ni kitu kingine.
 
Inategemea mwenyewe unapenda ios ama Android, kama ni Ios na una uwezo wa ku Afford 13 pro max ni vyema ukaenda 13 pro max badala ya 12 sababu hii ya 13 ipo optimized zaidi.

Kama ni Android s21 ultra ni all around simu nzuri sana.

Kama Hujali kati ya Android ama ios still 13 pro max ni simu nzuri zaidi.
S21 ultra Bei yake Kwa sasa imesimamaje
 
Nitoeni ushamba tofauti ya refurb na mpya ni nini na nitatambuaje simu ni refurb
Refurbished ni simu ambayo imetumika ikaharibika ikatengenezwa na kuuzwa tena

Mara nyingi refurb hutoka Nchi kama Usa, Japan, China, Korea etc utaijua refurb ukikuta dalili ya simu ikiwa imetoka hizo nchi.

Mfano unanunua sony nyuma imeandikwa Docomo (mtandao wa japan) jua ni refurb, umenunua LG ukiwasha inaandika sprint (mtandao wa marekani) jua ni refurb.

Baadhi ya simu kama za Samsung huwa wanaweka software ambayo ni ngumu kutambua kama ni refurb hadi uingie download mode na kusoma model ndio unafahamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom