Which is murder between masturbation and abortion?

Ukitoa mimba ni kesi..... Lakini sijaona sheria unayohusika na punyeto... Lakini kwa mungu vyote ni makosa...... Ni dhambi.......
 
abortion you kill 46 number of chromosomes while puchu 23 number of chromosomes!

How about wet dreams inayotokea automatically ingekuw hvo kuwa kila sperm inayotoka ifertilize yai wanaume wte tungefungwa
 
Hahaaaa hizi mada nyingine hizi...pasua kichwa tu.
Nimeshapiga sana cha puta lakini huwezi kuniita muuaji aiseee nitakukodia buldoza likusombe.
 
Swali la kijinga kuwahi kuulizwa JF, punyeto (kujichua) ni vitendo ambavyo mwanamke / mwanaume anaweza kuvifanya. Wakati utoaji mimba (abortion) ni tukio linalowahusu jinsia ya kike pekee..
 
Cell Is A Simplest Unit Of Life. Lkn Katika Multcellular Organism Gaments Zna Join Kuform Zygot Ambayo Inakua Na DNA Za Pande Zote Mbili To Form A Living Individual. Kwa Multiceluler Organism Uhai Wa Kiumbe Huanzia Hapo, Lkn Ingekua Ni Unicelluler Km Amoeba, Paramecium Hapo Sawa Tungesema Sperm Na Eggs Zote Ni Living Creatures. Kwa Point Ya Kuharibu Sperms, Hata Wkt Wa Fertilization Out Of Millions Eggs And Sperms, Moja Tu Ndo Huusika Kila Pande, Je Tuseme Sperms Na Eggz Zngine Ni Mauaji? Vp Wkt Wa Hedhi, Yanapotea Mayai Mangap? Ukitumia Kondom Wkt Wa Orgazm Znapotea Gargents ngap? Sio Kila Cell Ni Living Creature, Ni Kwa Uniceller Tu. Mayai Yanayopatikana After Fertilization Ndo Tunaweza Kusema Yana Living Creatures Mf. Mayai Ya Kuku, Kenge, Nyoka Nk Yale Ya Kuku Wa Kisasa Sio Ya Fertilization Hvyo Hakuna Zygote Mule Na Ndo Mana Huwezi Totolesha.
 
I'm confused can someone help me??/
Puchu na kutoa mimba yapi in mauaji??/

."Human development begins after the union of male
and female gametes or germ cells during a process
known as fertilization (conception).
"Fertilization is a sequence of events that begins
with the contact of a sperm (spermatozoon) with a
secondary oocyte (ovum) and ends with the fusion
of their pronuclei (the haploid nuclei of the sperm
and ovum) and the mingling of their chromosomes
to form a new cell. This fertilized ovum, known as
a zygote , is a large diploid cell that is the
beginning, or primordium, of a human being ."
[Moore, Keith L. Essentials of Human Embryology.
Toronto: B.C. Decker Inc, 1988, p.2]
 
I'm confused can someone help me??/
Puchu na kutoa mimba yapi in mauaji??/
Zote dhambi!:
Mpiga punyeto ana dhambi ya roho mbaya,choyo na ubinafsi uliokithiri dhidi ya wanawake kwa kukwepa majukumu yake ya kugharamia mwanamke!
Matokeo yake anapenda sabuni badala ya mwanamke!
Mpiga punyeto hana murder case!
ila ana kesi ya kiroho, maana anatembea na ibilisi mchafu!
Mtoa mimba ana dhambi ya kuua kiumbe! Murder case!
 
I'm confused can someone help me??/
Puchu na kutoa mimba yapi in mauaji??/

Sperm pale zinapodondekea ukigonga nyeto hazipotei zinachukuliwa na mapepo kwenda kupandikizwa kwa mipepo ya kike hatimaye kuzaliwa mtoto wa kiahalfcast wa jini na binadamu viumbe wa namna hii hata humu JF wamo wazazi wao ndio hao wanacha ma wa CHAPUTA
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom