El murjeb
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 484
- 2,123
Habarini wanaJF,
Mimi ni kijana ninayetarajia kuhitimu masomo yangu ya A level hapo Mei mwakani.
Nimejikita katika tahasusi ya PCM kwa kuwa ndio niliipenda sana.
Suala langu ni kwamba napata ugumu kuamua kozi nzuri ya kusoma katika elimu yangu ya juu.
Nimekuwa nikivutiwa sana na masuala ya kompyuta lakini nako huko nmepatana na ugumu kuamua ni kozi ipi nichague kati ya
Computer Engineering na Software Engineering.
Kwa wale wenye uzoefu ningependa mnisaidie ushauri.
Lengo langu ni kusoma kozi ambayo licha ya urahisi wa kupata ajira pia iwe imenifungua zaidi ufahamu wangu katika kuweza kujiajiri katika ulimwengu wa maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
MICHANGO YA WADAU:

El murjeb, Software engineering (SE) ni subset ya Computer engineering (CE). kama unapenda ku deal na hardware pamoja software kasome CE ila kama unapenda ku deal software in deep kasome SE.
ukiangalia kozi za SE utaona ina baadhi ya masomo ya electronics ila kozi zake nyingi ni zimebase kwenye software development and management.
NB: Kufanikiwa kwenye fani zozote za computer au IT zinataka mtu mwenye passion na mwenye moyo wa kusoma hata baada ya kumaliza chuo.
Ukienda kusoma kwa sababu ya ajira/pesa jiandae kuisoma namba ukimaliza chuo.
Sent using Jamii Forums mobile app