Which celebrity would you marry?

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
9,985
2,000
Jizaz
Ina maana hata mie niliyeooa naruhusiwa kuoa tena???
Kusema ukweli hawa celebrity uliowataja wanafaa sana as apetizers lakini not as complete meal.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,992
2,000
If you were to marry one of this queens-Nancy, Jokate and Richa; who is the best among them,why?

PM


NONE of the above, I prefer to eat home cook meal like pilau, ugali, samaki wa kukaanga, mahanjumati, chapati, maini ya kukaanga, mchicha, kisamvu, maharage ya nazi, ndizi za kupika zilichonganywa na utumbo n.k. NONE of the above seems to know how to prepare those foods...:)
 

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,079
0
Did you tested your wife before marrying? If yes, then YES. If no, then NO

PM
Sasa sijui umeuliza swali gani tangu mwanzo? Mimi najaribu kuelewa ishu yako ni nini? Wewe unaanza kujibu utumbo. Nani kakwambia nimeoa?
Swali lako la kitoto. Utaoaje mwanamke kwa kumwangalia? Au kwavile 'celebrity'? Halle Berry kaachika ije kuwa.....maaaan grow up.
 

Paparazi Muwazi

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
310
195
Sasa sijui umeuliza swali gani tangu mwanzo? Mimi najaribu kuelewa ishu yako ni nini? Wewe unaanza kujibu utumbo. Nani kakwambia nimeoa?
Swali lako la kitoto. Utaoaje mwanamke kwa kumwangalia? Au kwavile 'celebrity'? Halle Berry kaachika ije kuwa.....maaaan grow up.

Uliuliza mwenyewe kama unataka kuwaonja kabla.Yupi ananidhamu ya kuwa mke kati ya hao watatu?

PM
 

Paparazi Muwazi

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
310
195
Everything about her is tantalizing.....Cleanest in what way?
a)Clean as "body & clothes are clean"
b)Clean as "no scandals of any kind"
c)Clean as "so fresh so clean"
d)Clean as "drug free"
e)All of the above
f)None of the above

All the above. Tantalizing? That sounds sweet!

PM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom