Iwe ni ya kutunga au la, lakini waweza jifunza chochote

Humilis

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
881
1,034
Copied and Pasted

[17:04, 02/02/2015] Lily .CPA: Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata sikumoja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa nane usuku atanifata tu maana hakuwa akipenda niendeshe gari usiku hata sikumoja, nikirud na tax ananifokea sana,,,, gari mafuta niliwekewa kila safari, vocha niliwekewa, alinikuta fresh from collage so hata kazi sikuwa nayo, akanitafutia kazi,baada ya ndoa, nikapata, na nikaanza, kuna kipindi akawa ananiambia niache gari anafeele proud kutembea na mimi kwenye gari, kifupi alinijali sana, san asana, sasa ile care yake ndio ninayoikumbuka hadi leo hii, wamama, wadada, wanandoa, kama una mwanaume anakujal mshikirie vizuri sana.

[17:04, 02/02/2015] Lily .CPA: Si kwamba alikuwa hanitii vizuri, alikuwa ananitia sana tu, sikuwah kumfumania hata mara moja, ana likuwa muwazi sana kwangu, yani muwaz sanaaa, ofisn kwao walinijua, alipenda kunitambulisha kila kona, kuna kipindi alienda south kikazi ikawa kila weekend ananitumia nauli naenda, siku zingine anakuja yeye hadi aliporudishwa huku, ni upendo wa ajabu,, nilichofaidi kwake tu ni kwamba alikwenda kwetu akapaona palivyo, akasema atanisaidia kujenga, alivunja nyumba ile na kumjengea mama yangu kijumba kidogo cha kumtosha mwenyewe, akamuwekea mashamba, hadi leo namkumbuka, kwao yye kazaliwa peke yake, mama yake alifariki wakati amemzaa tuu, akasema anamlea mama yangu kama mama yake, hana dada wala kaka wa kuzaliwa tumbo moja, wako wa ndugu wengine tu.

[17:05, 02/02/2015] Lily .CPA: NATHIBITISHA KWA KINYWA CHANGU, COMPANY ULIYONAYO INAWEZA KUBADILI MSIMAMO NA KUSHUSHA AU KUZIDISHA HESHIMA YAKO,,, company niliyokuwa nayo mimi ilikuwa ni ya kupunguza heshima kwangu na ndio iliyoniponzz, staki kuiongelea sana hilo maana wengi rafiki zangu wako humu, ila kifupi tu, nilifanya ujinga mno, naujuita hadi kesho.

[17:05, 02/02/2015] Lily .CPA: Nikiwa na rafiki zangu tuliandaa mtoko kwenda bagamoyo kutembea lakini tukapanga tusiwaambie waume zetu ukweli, tudanganye maana wengi wasingekubali tukapanga safari tukasema uongo kwamba ni safari za kiofisi,(mme wangu hakuwa akinifatilia oficn kabisa) basi nikamwambia ni safar ya kikazi tunaenda bagamoyo, yeye oficn kwake ni boss, so anaweza kuondoka muda wowote bila swali, basi akasema nitakufata, sitawasumbua nitakaa hotelini tu, wewe ukimaliza kikao chenu utanikuta chumbani, nakumbuka siku hiyo nilichukia sanaaa, yani sanaaaa nilichukia nikamwambia hapana tunalal wawili wawili, akasema basi sawa nenda.

[17:06, 02/02/2015] Lily .CPA: Alinipa hela ya kutosha nikaenda na rafiki zangu tulikuwa group ya watu wanne tu, watatu tumeolewa mmoja bado, basi kufika bagamoyo tulihv fun sana almost three days, nikiwa kule nikakutana na kijana mmoja ambae alinipenda sana (admin naficha jina, tumpe KELVIN) basi alikuwa kaja na marafiki zake wengine nafikir nao kuhv fun,, sasa kila jioni tukiiniga buffet tunakutana nae, akaanza kunitongoza nikagoma, akamfata mmoja wa rafiki zangu akaomba namba akapewa, nashangaaa usiku akanipigia simu, nikakataaa, rafiki zangu walinisisitiza sana nimkubali, kijana mzuri, handsome, nikasema no, ninae mme wangu, simtaki huyu, siku naondoka akaja na diary moja nzuri sana kwenye gari yetu, akaniambia unaondoka nikasema ndio unataka nini, akasema dont be dry like this akanipa diary yake niichukue kama kumbukumbu, nikakataa.

[17:06, 02/02/2015] Lily .CPA: nilipofika mjin mr alinifata, akanipokea akaniambia tu mke wangu toka toka uende huko, nimekuwa mpweke sana,, wkati huo sikujua kama alipiga simu ofisn kuconfirm kama ni kweli niliondoka,,, akaambiwa nimejaza AD na sio kwamba nimesafiri kikazi,,, kumbe ukweli aliujua, nashangaa mwanaume huyu hakuniuliza chochote akakaa kimya tu, ila aniliona changez, coz tulipokuwa kweny gari alinikuwa ananiangalia sanaaaaaaaa,,, nikimtazama na mimi anageuka anaangalia pembeni.

[17:07, 02/02/2015] Lily .CPA: Nikamuuliza vipi, akasema nilikumiss tu mke wangu,,,, tukafika home nikaonga nilikuwa nimechoka usiku mr, akaniomba mambo, nikawa nimechoka nikamwmaia nimechoka, hakujibu wala kusema chochote akasema pole mama, akageuka aklala namie nikalala, asbh akaniambia tena naomba mke wangu nilikumiss sana nikawmambia nachelewa kazini, nitampa jioni, akasema sawa, tukaondoka, kila mtu na gari yake, kufika ofic hr hakuniambia chochote kama aliwasiliana na mme wangu aliniuliza tu, umepona? Nikasema ndio akasema karibu tena, basi kazi ikaendelea, baada ya siku nne tu akaja yule kaka hado oficn kwangu na alielekezwa na mmoja wa hao best zangu, alipofika nilishangaa nikamuuliza nini kimekuleta hapa akasema tuongee kwenye gari, basi nikaingia, jamani ni kama nililogwa naweza sema kweli tena, kama hamtaamin basi ila naamini ALINIROGA HUYU KAKA, maana alivyokwua akiongea nikaanza kumpenda,,, nilizidi kumpenda kupita kiasi nikaanzak uona uzuri wkae, nikaanza kumcompare na franco wangu, naona huyu amemzidi kila kitu.

[17:07, 02/02/2015] Lily .CPA: Hamu nikajishauwa kidogo, akasema tuagane gari yake ilikuwa full tinted akanivuta akanipa denda, aisee nilikuwa kama nimepigwa short, nilitegtemeka moyo ukaenda mbio sana akapitisha mikono yake kwenye mapaja yangu akapandisha hadi kwenye kinena kisha anaakaanza kukifinya finya, nililowa isingekuwa maendeo ya kazi angenitia siku ile iele, nae akawa amesimamisha sana akanomba nimshike shike akojoe, ni kweli nilipomshika shika tu, akayamwaga, nikamfuta akaondoka, ,,tokea pale nikaanza kumpenda kupita maelezo

KUMBUKENI CHA KWANZA FRANCO KUGUNDUA KUWA SIO MWAMINIFU ILIKUWA NI KUSEMA NAENDA BAGAMOYO KIKAZI, WAKATI OFIS HAIJUI NA NILIAGA NAUMWA, SO HII ILIKUWA YA KWANZA ALIGUNDUA NA HAKUSEMA KITU

[17:08, 02/02/2015] Lily .CPA: Niliporud home mr akasema anaomba tutumie gari moja tu, moja tupaki, atakuwa ananipeleka kisha ananirudisha, nililarukia sna nikamwambia sitaki, maana ya kuwa namagari mawili nini alininunulia la nini wakati alijua anweza kunipitia, akasema nimeamua tu, mke wangu nini shida kwani, wewe nakupeleka nakurudisha kama una issue zako nitakupeleka nakuacha ufanye mimi naondoka badae nakufata nikakataa akasema sawa.

[17:09, 02/02/2015] Lily .CPA: Usiku yake alinitia kusema kweli ananitia yeye mimi namuwaza kelvin tu, alinitia na niliona kabisa hayuko kawaida, ananitia tu mradi akojoe,, nikamuuliza kuna shida gani akasmea hakuna shida yyote, akakojoa kidogo tu, kisha akatoa hakusubir nimfute huyo akainuka kwenda kuoga, alikuw na tabia ya kuninyonya sana huku chini, nikaona siku zinavyozidi kwenda haninyonyi tena, yani ni kkutombana tu, basi, hakuna kucheza wala kurambana, wakati huo nikawa nimeshaanza mahusiano na kelvin, mahusiano yangu mabest zangu waliyajua vizuri sana, siku ya bithdday yangu nilipotoka nikamkuta kelvin ananisubiri nje akanichukuwa kunipeleka hotel moja hivi iko sinza, nzuri sana nikakaa kama nusu saa wakaja mabest zanu na keki,,,, nilibaki nashagaa, nikiwa hapo mme wangu alinipigia simu kuuliza niko wapi, nikakimbilia chooni kupokea simu, akauliza uko wapi mama, nikasema muhimbili nimekuja kumuona mama yake rafiki yangu aanaumwa, akasema mbona sauti ina mwangwi, na kumetulia hivyo, nikasema niko chooni nakojoa, akasema mbona hukuaga, nikasema sory, ilikuwa urgently, alichosema ni kimoja tu. KUWA MAKINI NA MAAMUZI UNAYOTAKA KUYAFANYA, akakata simu

[17:09, 02/02/2015] Lily .CPA: Nilikaa hapo bila hofu kabisa mbaya Zaidi nikisema nawahi nyumbani kwa mr, wananiuliza unamnyonyesha? Kaa ule raha hapa, nilikaa kweli hadi saaa mbili, nikiwa hoi, akawa ameanaza kunipa pombe ninywe, nilishindwa kwakweli nikaanza kunywa wine tu ambazo nazo sikuwa nikitumia zamani, siku ya birthday alinikazania sana anipe zawad ya sex, kweli pale baada ya kuondoka wenzangu tulichukuwa chumba akanitia haraka, cha ajabu nilikuwa naenjoy sana penzi lake kuliko la franco, kisha tukarudi home, nafika home tu namkuta mme wangu kaka kibarazan ila kaka wa getin wakat anafungua aliniambia tu dada leo shemej ana hasira hasira sana sijui kwanini, (kijana wa getini ni ndugu yangu so yuko huru kwangu sana ) nikamuuliza kakuulizaje akasem alisema tu ikifika saa nne hujaja nisifungue geti atakuja kukufungulia yeye.

[17:09, 02/02/2015] Lily .CPA: Tumejenga nyumba ya ghorofa basi ile naingia naongea na mlinzi kumbe yuko ghorofan ananiangalia atu mie sikumuona maaan niusiku na amekaa kwenye kono, badae ndio kaka akaniambia umeona anavyokuangalia yule kule juu, ndio nikamuona, alipoona nimemuona tu akarudi ndani, naingia seblen tu nae aanshuka ngazi, akanifanta akanikumbatia akasema nikupokeee hand bag, kisha twende dining kuna gift yako, tukaenda hadi dining, nikakuta kuna keki, akamuita dada aandae sahani alete cha champagine, basi nikajikausha kama sio mie nikafutrahi ili awe na Amani, nikashangaa mbona hasira nilizoambiwa anazo sizioni tena, basi tukakata keki tukala, akaniiimbia wote na kina dada na kaka wa mlangoni kisha wakasambaa, tukapanda juu kulala, ile nafika juu tu akaniambia nina gift yako ingine, njoo tukae hapa tuongee kidog nikupatie zawad, tukae sebule ya juu, ambayo inatazamana na chumba chetu, niakmwambia nisubiri basi nakuja.

[17:10, 02/02/2015] Lily .CPA: Bas niliiingia ndani nikachkua simu nikamusms kelvin asinipigie maan nimefika nyumbani, hakujibu chochote kile, basi nilitoka nje nikaakaa seblen na tauro langu, mme wangu akasema mbona hukuniaga ulipoenda na sio kawaida yako? Akasema mbona hukuniambia wakati huwa unaaga, nikamwambia mgonjwa alizidiwa nikachanganyikiwa akasmea, KUWA MAKINI NA HAYO UNAYOTAKA KUYAFANYA, akanifata akaniambia nakupenda sana, jitahidi uniheshimu, usiniumize, niksema sawa, akaniambia, chukuwa zawadi yako pale kwenye kikabati cha vitabu, nikaenda nikakuta simu nzuriiii ya HTC ONE rangi ya gold, Niliruka sanaaaa sana nikamkumbatia, akafurahi akaniambia basi anitie pale seblen sikujivunga nafuraha ya simu nikampa,,,,ila kuna kitu alihisi, maana aliponitia tu akaniangalia usoni, mboo ililala, hakukojoa kabisa, akanitazma usoni akaniuliza unaenjoy nikasem yes, you? Aksem me too ila nashangaa kwanini mboo imelala, hasimami.

[21:36, 02/02/2015] Lily .CPA: An airline introduced a special package for business men. Buy your ticket and your wife travels free. After great success, the company sent letters to all the wives asking how their trips went.
All of them gave the same reply: " Which Trip?"

[22:49, 02/02/2015] Lily .CPA: Nilistuka nikamuuliza unawaza nini akasema nothing, nashagnaa tu, basi nikamwambia itasimama nikaanza kumchezea lakini wapi mwisho wa siku akaniambia utanichubua usifanye hivyo, ikabid niache tukaenda kulala,,,,,,, nikashangaa saa nane usiku naamka niende washroom mr hayupo kitandani, nikastuka, nikaenda washrum hayupo, nikatoka sebule ya juu hayupo, nikaja kumchungulia namuona sebul ya chini amekaa anaangalia movie, amevaa tauro tu,,,, nikashuka hadi chini, nikamuuliza unashida gani usiku huu watu wamelala wewe unaangali tv, akasema niache sina usingizi, kucheki pembeni yuko na simu yangu, moyo ukafanya paaaaaaaaaaaaaaa

[22:50, 02/02/2015] Lily .CPA: Nikamwambia mbona umekaa na simu yangu, akasema SINA MIPAKA JUU YA SIMU YAKO MKE WANGU,,,,, nikataka kuichukuwa kwan nguvu akasema usitupende kutumia nguvu, sana utamumia,,, chukuwa simu hii hapa nenda kalale, nikakuta anakunywa wine ,, alikuwa anaangalia CD moja ambayo nilitamani kila mtu angekuwa nayo inaitwa FIND A SECRET, nzuri san asana sana, nikamwambia okay uliichukuwa yanini, akasmea nilipize basi nenda nay a kwangu.

[22:50, 02/02/2015] Lily .CPA: Sikumjibu nikarudi ndani, nikaanza kupekua sms, sikukuta sms hata moja, nikajipa moyo sikujua kumbe kelvin alikuwa alirudisha majibu an alinisifia Sanaa tuliposex, mme wangu akajifowadia sms ile maana siku ananiacha kanisani aliionyesha na akasema anazo sms zote maana alienda (mtandao kapuni by admin) AKAPRINTIWA SMS NA RAFIKI YAKE, ambazo tulikuwa tunatumiana, basi nilipojiridhisha tu nikalala usingizi hauji nikaseam au katuona?

[22:50, 02/02/2015] Lily .CPA: nilipitiwa na usingizi nikalala, hali ilianza kubadirika hapo, simuelewi kabisa mwenzangu, anauchuna tu, haniuliz chohcote ni kama ndani ya miezi sita niko na kelvin mambo moto moto,, kuna siku akanaimbia mke wangu nataka kukutoa

[22:51, 02/02/2015] Lily .CPA: nikamwambia wapi? Akasema nahitaji kuongea na wewe omba ruhusa kazini WAAMBIE UNAUMWA TENA,,,, nahitaji kwenda na wewe Zanzibar, mh nikastuka hiyo tena imetoka wapi? Nikamuuliza niwaambie tena kwani nishawahi kuomba ruhusa ya kuumwa, akasmea ah nilikosea kuongea tu, dont mind, we omba ruhusa, niliomba tukaenda hadi zazinba, tukafikia hotelini, lakini safari ile ilikuwa ni kuongea tu, ananisii nitulie, kama kuna shida niseme, kama kuna tatizo tuongeee ananipenda sana,, yani aliongea kupita kiasi, nikasema sema kwani kuna nini, najikausha akasema ah moyo tu hauna Amani, tukaenjoy kidogo akaninunulia madraya ya mkono ya kutumia mwenyewe nisiende salon, yani kila kitu hao tukarudi dar, kufika tu ugomvi ukaanza na kelvin kwa simu, anasema kwanini niliondoka bila kumwambia, nikamwambia nilikuwa na mme awngu, na ilikuwa ghafla, na nilikuwa so tight nisingeweza kabisa kuongea na simu, akachukia akaanzak utuma sms za ajabu ajabu.

[22:51, 02/02/2015] Lily .CPA: tukiwa tumekaa seblen niko busy na simu, yangu, sina hili wala lile, franco akasema wife,,,, SIKU NIKIGUNDUA UNANIDANGANYA, NITAKACHOKUFANYA HUTOSAHAU MAISHANI KWAKO, nikamwambia kwani nini, basi nikazuga hapo kimoyo moyo nikasema ntakuwa makini Zaidi.

[22:52, 02/02/2015] Lily .CPA: tulikaa kama miezi miwili Amani ikiwepo kabisa nyumbani kwangu, japo sio sana, tukawa tumepanga twende kwa mama yangu, tukamsalimie yuko kigoma, tukaenda na mmewangu hadi kigoma nashangaa nimefika kigomba kelvin ananipigia simu nae yuko kigoma eti alinifanya nikasema siwezi kukuona aksema no, lazima tuonane, basi nikadanganya kuwa naenda kwa dada yangu mkubwa, mr aniruhus niende tu, akasmea mie nimekuja kwenu,,,, wewe ndio mwenyeji wangu, unaniacha na huyu mama naongea nae nini? Kuna mipaka mimi kwenda kwa ndugu zako hadi uende peke yako? Nikasema hakuna, nilichokaa maana nilikuwa nimemuelekeza kelvin aje maeneo hayo, namimi huku mr akniabana twende wote ikabidi nimwambie kelvin asije.

[22:52, 02/02/2015] Lily .CPA: sijui hadi leo, mme wangu aliisomaje ile smsms maana nilikuwa nikituma tu naifuta, wakati tunarudi dar akaniuliza vipi, mbona ulimzuia mwenzio, kuja kwa dada yako, nikasema nani? Akasema ah,,ACHANA NAYO HAYO, NIKASEMA NO, NIAMBIE UNAMAANISHA NINI? AKASEMA yaache tuendelee na mengine,,,, akaanza kuongea mengine, nilistuka kidoog ila mwenznangu akawa sawa tu, tulipofika dar, ugomvi ukaanza na kelvin kwanini nilimzimia simu, ugomvi mkubwa sana, nikaaendelea kuchelewa nyumbani,

[22:53, 02/02/2015] Lily .CPA: kuna siku nilipigiwa simu na mama akanaimbai suzy una nini nyumani kwako? Maana mumeo kaniambia niongee na wewe, nikamuuliza kuhus nini kasema wewe UNAJUA NIONGEE NA WEWE, nikawmambai mama hakuna kitu acha nitayamaliza kama yopo,,,, usiku nikamuuliza mme wangu uliongea na mama akasema yes nilikuwa namsalimia tu namjulia hali nilikosea? Akasema no hukukosea KABISA UKO SAWA

[22:55, 02/02/2015] Lily .CPA: KUNA SIKU INGINE TENA NILIKUWA NIMELALA. MIDA KAMA YA SAA NANE HIV USIKU NIKASTUKA NINI.SIJUI NIKAKUTA MWENZANGU HAYUPI KITANDANI.

[22:55, 02/02/2015] Lily .CPA: NIKASTUKA NIKAINUKA NIKAAA SQSA JUU HUKU KWETU MADIRISHA YAKE NI MAKUBWA SANAAAAAAA NA HUWA SITUMII.AC MAANA UPEPO WAKE MKUBWA SANAAA BAS HUWA NAKUNJA PAZIA TU KWAHIYO.MWANGA HUPENYA NDANI NIKAONA KWENYE KONA KABISA MME WANGU AMEKAA JUU YASOFA KAINAMISHABKICHWA CHINI

[22:56, 02/02/2015] Lily .CPA: NILIINUKA NIKAWASHA TAAA NIKAMFATA NIKAMUULIZA ANA NINI.MBONA SIMUELEWI. KALBALA HAJAJIB MACHOZ YAKAANGUKA NIKASTUKA NIKASEMA MG...FRANCO....AR YOU CRYING????KUCHEKI KCOCH LIMELOWA KWA MACHOZ NA MAFUA ANALIA BILA KUTOA SAUTI. NIKAMUINUABKICHWA NIKAONA MACHO YAMEMVIMBA NI KAMA MTU.ALIEQNZA KULIA ZAMAN SANA

[22:56, 02/02/2015] Lily .CPA: NIKAMSOGELEA NIKAMUULIZA UNA NINI BABA??? PLEASE TELL HAKUJIBU KITU CHOCHOTE AKANISUKUMA AKASHUKA NGAZ KWRNDA CHINI..NIKAWA NAMFATA AKANIGEUKIA AKANIONYESHA KIDOLE TU ISHARA NISIMFATE NIKABAKI NIMESIMAMA

[22:57, 02/02/2015] Lily .CPA: HAKUNIJIBU AKATAKA KUNISUKUMA NIKAMWAMBIA NO....KAMA KUNA KITU TUONGEEE PLEASE KULIA SIO SOLUTION. AKASEMA HIV...NIJIBU MASWAL NITAKAYOKUULIZA...NIKASEM SAWA AKAANZA...KWANN UNATEBEA NJE YA NDOA?

[22:58, 02/02/2015] Lily .CPA: BAS NIKARUD JUU NIKAKAA USINGIZ UKAKATA KABISA......NIKASEMA NO....NAMFATA NIKATOKA NIKAENDA SEBLEN CHIN NIKAKUTA HAYUPI ILA MLANGO UKO WAZI..NIKASHUKA HARAKA NIKATOKA NJE NIKAMKUTA AMEKAA ANALIA HUKU AMENG'ATA KIDOLE...NIKAMFATA NIKAMKUMBATIA..NIKAMWAMBIA NAKUPENDA

[22:58, 02/02/2015] Lily .CPA: MOYO UAFANYA PAAAAAA NIKAJIAUSH NIKASEM NINI WEWE? AKASEMA SIRUDII SWALI HATABMOJA MAAN UMESIKIA.......LA PILI.. NIPE SABABU ZA KUFANYA HIVYO...NA TATU NFANYE NINI UMUACHE KELVIN..WAKAT HUO ANAONGEA ALIKUWA NA HASIRA SANA....MACHO MEKUNDU SANAAA MISHIPA KICHWANI IMESIMAMA ANANG'ATA MENO..ANAJIPIGAVKICHWANI.......AKASEMA NIPE MAJIBUBYA MASWA YANGU HUKU ANANITAZAMA USONI

[22:59, 02/02/2015] Lily .CPA: NIKASEMA HAYO NI MAWAZO YAKO..SINA MTU MIMI.......KWAMARA YA KWANZA TOKA NIOLEWE ALINIZABUA KIBAO KIMOJA KIKALI..AKASEM KWANN UNATEMBEA NJE YA NDOA..KWANN HURIDHIKI..WHAT ISBSO SPECIAL KWAHUYO JAMAA YAKO..AKANIZABU KINGINE..NIKAKIMBILIA NDANI NIKAPANDA NGAZ HARAKA MAANA ALIKUWA ANANIKIMBIZA

[23:00, 02/02/2015] Lily .CPA: Nilipofika ndani nikapanda ngaz harakaharaka akanifata.mie napanda moja moja yeye mbilimbili kabla sijafika hata mlangon akanivuta akanishusha chini akasema leo nakuuwa........siwez penda mwanamke nikampa kila kituanachotaka kisha anisaliti alinipiga sana pale chin..salama yangu ni kijana wa getin kuja kuniokoa maana nilipiga kelele kama nimekalia moto.......hakuongea aliponipiga nikaokolewa akaenda kwenye wine space akakaa huko akaanza kunywa wine...huku analia sana.....nikaingia chumban nikaanza kulia asbh kufika nikamkuta kalala palepale juu ya meza ya wine sikumsemesha kitu nilivaa nikaondoka kwenda kazin....sijui aliamka sangap..ila mida ya mchana akanipigia simu sikupokea..akapiga nikakata akatuma sms pokea simu mke wangu sikupkkea

[23:01, 02/02/2015] Lily .CPA: Niliporud jion kaka wa getin akasema shem nae kaondoka sasa hiv toka asbh alikuwa analia tu. Kaja rafiki yake wameondoka ....sikujibu kitu nikafika......kidogo ikaingia sms kwamba nimfate samakisamaki kule mliman city nikasema siji....sijakaa sawa akamtuma mtu anifate nikaenda kufika akaniomba radhi sana mbele ya rafiki xake kwa kunipiga...yeye mwenyeer anajutia kwann alinipiga aliomba radhis sanaaaaaa nilimshangaaa kukuta nakunywa pombe wakat alikuwa hanywi nikamuuliza franco..when did you start this....yesterday.......and its becouse of you...bas aliomba radhi na wenzie wakanisihi nimsamehe tukarud home.....that day alinitia vze...lkn bado niseme kweli fkelvn aliniroga jaman..wakat ananitia mme wangu mje nikawa nakumbuka mapigo ya kelvin......had alipokojoa

[23:01, 02/02/2015] Lily .CPA: Za mwiz zilifika ambazo had leo sijui aliijuaje hotel niliyokuwa nimeenda kulala na kelvin....nawaza had leo nakaribia miaka miwil toka nimeachika sijui alijuaje franco

[23:02, 02/02/2015] Lily .CPA: ilikuwa jimamos kelvi akaniambia kuwa ameninunulia kiwanja mkuranga niende akanikabidhi....hakusema kama nitalala huko sikujipanga kuaga chochote ..nikamwambia franco naenda kwenye chama kikaon huko mbagala akasema sawa nenda.....nikaondoka kufika huko tukakaa baa moja hiv tukala..akaenda kunionyeaha hicho kiwanja nikakitazama tulipomaliza kukiona akasema twende kwenye kituo chake kimoja cha mafuta mbele ya mkuranga. Wakat huo ilikuwa saa 12 jion......nikamwambia si unajua natakiwa kurud home akasema yes hatukai sana....tulipaki gar yangu nyumban kwake kawe tukaondoka na gar yake. I was confortable coz ilikuwa full tinted ukisema uchungulie ndan unajiona sura yako unavyochungulia ndan huon kitu

[23:02, 02/02/2015] Lily .CPA: Kufik huko tukatembelea kituo chake nikapaona....kelvi. alikuwa hajaoa kabisa so nilikuwa frer kwake..akaniintroduce kwa wafanyakaz wake kama mkewe mtarajiwa..bad enough nilikuwa nikikutana na kelvin tu ananiambia toa mapete yako..na kuna siku alitaka kuzitupa alisema hazipendi ikawa ugomvi bas nikawa nazivua....baada ya hapo akaniambia anafeel joto nimsindikize kupga hotel moja hiv na akasema anitie hwez niacha nami kuonuesha ushirikiano wa kiwanja kile nikaenda ila kwa makubaliano tukimaliza tunarud nybani ..siku nzima sikuwa nimeongea na wale mabest zangu hata mmoja... tukaenda hotelin hukohuko mkuranga

[23:03, 02/02/2015] Lily .CPA: Tukiwa hoteln pale timeshatiana akaniambia leo huondoki..simu hii hapa mpigie mmeo sema unavyosema leo tunalala wote.nikalia sanaaaa akanipokonya funguo za mlangon..akasema siku nikisikia mme wako kafa ntafurah sana..hana hadhi ya kumiliki mtoto mzur kama wewe.......nililia aniruhus akagoma.....bas mida ya saa mbil sim ikaita kucheki ni mme wangu.......nikafungua madirisha ili mwamngwi utoke nikapokea nikamwambia nimepitia msibani kuna rafiki yangu kafiwa ........akachekaaaaa akasema okay kwahiyo hurud?nikasema naweza kuchelewa sana..akasema haya mke wangu. Nakupenda nikamwamvbia nakupenda pia. Akakata simu.. hapo nilikuwa na hofu sanaaaa

[23:03, 02/02/2015] Lily .CPA: Nikiwa hapo tulikuwa tumeagiza kuku wa kuchoma nje. Nikasema hatuendi kula nje walete chumbani..basu nilikaa ndani kama saaa moja baada ya kuongea na Franco akapiga tena akasa nipo hapa ulipo naomba nikuone Mara moja... Nikaastuka akasema tena unakuja au Mimi nine?.....saut ile ilikuwa kama MTU Amalia.......pemben nasikia MTU anamwambia Franco utaharibu sasa....nikakata simu

[23:04, 02/02/2015] Lily .CPA: Nikamuuliza klevin Franco anasema yupo hapa nilipo kuna MTU yyte ulimwambia tutakuwa hapa Leo? Lelvi. Akasema Hugo muongo anakutishia tu..mie sikumwambia MTU ila niliongea na na rachel asbh njkamqambia Leo nakuja kukupa KIWANJA ila sikusema nitakuja hapa

[23:05, 02/02/2015] Lily .CPA: Simu ikaita tena nikapokea akasema Mke WANGU. Nipo nje.....unakuja au nije? Ila saut yake kama anabana kilio....nikakata simu bila kujibu... Jaman sitakaaakusahau Sikh hiiiii huwa nalia sanaaaaa hapa pia nalia vai...nimekumbuka mbali

[23:05, 02/02/2015] Lily .CPA: Ghafla simu ya chumban kwetu ikaita.....wote tukaogopa kupokea.........kidogo mlango wa chumban ukagongwa

[23:07, 02/02/2015] Lily .CPA: Mlango ulipogongwa kelvin akauliza nani? Wakat huo Mimi Niko hoi jasho linanitoka..mail unaishiwa nguvu..nikaombaaaaaa nikasema Mungu wa uzima nitetee kwenye hili naahid nikitoka salama sitakutenda dhambi tena..nikasahau kama MUngu hasikii maombi ya mwenye dhambi

[23:07, 02/02/2015] Lily .CPA: Kama mnakumbuka nilikuwa kwenye purukushan za kutaka kumkimbia kelvin tulipofika..moyo haukuwa na amani kabisa Siku hiyo kqahiyo kelvin aliuchukua ufunguo ili nisitoroke akawa nao mlangon kukabaki hakuna kitu chochote cha kuzuia ufunguo mwingine kupita....tukasikia sauti ya muhudumu ikisema Mimi muhudumu fungua mlango

[23:07, 02/02/2015] Lily .CPA: Kelvin akamfokea....kwann unasumbua wateja?.... In sharia ya wapi hii ya kumuarisha muhudum afungue mlango?...hakujibiwa...nikasikia nyayo zikitembea kama zinaondoka vile moyo ukarelux

[23:08, 02/02/2015] Lily .CPA: Baada ya dk tano tu nikasikia mlangp unafunguliwa ndio nikaju kumbe na hotel huwa wana funguo spair....oh pssaaa naumia zaid mazingira niloyokutwa Nayo violet I'm crying kila ninapokumbuka haya mwenzenu roho inaniuma sana mimi

[23:08, 02/02/2015] Lily .CPA: Nikiwa uchi kabisa nimekaa kwenye kona ya kitanda nimeshikiria MTO..kelvin akiwa uchi kabisa ameganda kona ya kitanda hajui afanye ninii akashika simu anaach anainuka anakaaa anaangalia pa kukimbilia....mwisho akasema niingie uvungu wa kitanda.....rum tulochukua INA vitanda vya box vile vikubwa sana havina uvungu akatoa godoro ili niingie kupotia chaga za kitanda..ndipo mlango ulipofunguliwa nikiwa nimesimama natafuta pa kuitetea ndo yangu

[23:09, 02/02/2015] Lily .CPA: Alianza kuingia shemej yangu ambae in askari ila alivaa kiraia badae akafata Mme WANGU mpenzi Franco.....ambae alipofika mlangon aliganda tu. Alishikilia mlango tu akinitazama Mimi na kelvin..huku machoz yanamtoka..kamasi zinamwagika akaniangalia...shemej akanitazama akasema hapa ndio msibani? Kabla sijajibu kitu Shem alinipiga kibao kimoja kupitia Kitano cha bastola yake nikakwepa kikanichana mgongon juu ya bega. Nikakimbilia kwenye godoro

[23:10, 02/02/2015] Lily .CPA: Juuu kwenyw kona ya kitanda nikakaaa Shem akamvamia kelvin akaaanza kumpiga vichwa yule manager wa hotel akaa za kuzuia huku akiniambia mama vaaa tauro.......wakat huo Franco amesimama tu mlangoni anatetemeka had I unaona kabiaa anatetemeka...jasho linamtoka..badae akavua sandals alizokuwa amevaaa akasimama pale pale..muda wote huo ananitazama Mimi tu

[23:10, 02/02/2015] Lily .CPA: Yule muhudum na meneja walifanikiwa kumtuliza shemej yangu...Shem akanifata akaniita KWA jina langu Mimi (admin hide the name) akaniuliza umefanya ninji? Mbona familia yetu ilikuamini na kukupenda sana.....imekuwaje umefanya hivi?....kilikupata ninii shemej yangu. Shem nae anaongea kwa kuliaa kabisa..akasema unataka ummalize Franco ukoo wake ufe?maaana kabaki peke yake..hana dada wala kaka (shem ni Mtoto wa babake mkubwa Franco)

[23:10, 02/02/2015] Lily .CPA: Ghafla nilianza kuishiqa nguvu....kuanzia miguuun ganzi ikaaanza kupanda kuja mapajan badae kwenye vidole na mikono.mwisho nikasikia kizunguzungu nikakosa nguvu nikalegea kabisa na kuangukia kita ndani style ya ubavu KWA kulala..nasikia ...naona. Lkn sijui nilipatwa na kitu gani sikuweza kunyanyua mdomo..sikuweza kutikisa hata kidole kimoja mapigo ya moyo yalibadirka nalia machozi hayatoki kabisa yamekata ila jasho linanimwagika kama maji

[23:11, 02/02/2015] Lily .CPA: Namuona kelvin anavaaa nguo lkn damu zinavuja puani sana badae muhudumu namuoana anavyonifunika tauro shemej anaongea kilugha na Franco kumsihi asiwe vile alivyo nikasikia akimqambia tamka chochote moyo upumue..usiwe hivyo utakufa? Ongea chochote maana toka ameniona pale alisimama mlangon hakutamka neno lolote like no Amalia tu machoz KWA kamazi vinamtoka Mimi niipo naona Vai lkin siwez Fanya lolote.........sina nguvu na ulimi kama umekatwa...sikuwah kupata mstuko wa aina hii toka nimezaliwa..ingekuwa sio faham kuwepo naona ningekuwa nimekufa

[23:11, 02/02/2015] Lily .CPA: Nakumbuka Franco alisogea mbele akanitazama KWA upole akaniambia sikustahil haya make WANGU........sina nilipokosea make WANGU kustahili adhabu hii......naaapia kama niliwah kutembea nje ya ndoa toka nimekuoa BA's nice kifo cha mateso. kwann uliamua kufanya hivi nini kilikusibu make WANGU.......akalia sanaaaaaaa kisha akasema UTANIKUMBUKA. AKakainuka akatoka shem akanitazama akasema weweeee....bahat yako.......haya endeleeni wakatoka qakatungia mlango

[23:11, 02/02/2015] Lily .CPA: Alipoondoka kelvin alinitazama alikua amwchanika mdomo na jicho moja lilikuwa jekundu sanaaaaaaa akaniambia pole......sikuweza kujibu alivaaa yeye akanivalisha nikiwa kitandani badae akampigia simu rafiki yangu mmoja aje yeye pia aliogopa KWA hali niliyokuwa Nayo' maaana mie sijui nini kilibishika nikawa nimepooza

[23:12, 02/02/2015] Lily .CPA: Badae walikuja wawil wakaanxa kuninyoosha KWA kunipia piga misuli KWA mbaliii nikahisi ufahamu ila koo lilikuwa linauma na ulimi bado haukua ukinyanyuka vzr......wakanibeba had kwenye gari KWA kujikongoja nguv zimeisha kabisaaaa tukaenda hadi kwa rafiki yangu ilala.....nguv zikaaanza kuja taratibu sana nikaweza kuongea macho yakaaanza kutoka sasa nalia kama nimefiwa nawaza narudije kqa Franco niliumia sana

[23:12, 02/02/2015] Lily .CPA: Badae Kelvin alituacha kwenda hsptl akatibiwe majeraha badae alipiga simu nipelekwe wakanicheki na Mimi nikapelekwa wakanishona nyuzi NNE tukarudi nyumbani KWA rachel wakawa wananifariji.

[23:13, 02/02/2015] Lily .CPA: Ilipita Siku mbili nikamfata aunt yangu anipeleke kwangu

[23:13, 02/02/2015] Lily .CPA: NikMueleza kila kitu.......alinisema sanaaaaaa nimewatia aibu...ila tukasema nisimqambie mama kwanza tukaenda wawil kufika tukaingia tukamkuta amelala anaangalia movie seblen akatupokea vzr tu .........akamkaribisha aunt akampa juice namimi akanimiminia akanikaribisha ..nilipata faraja sana badae akasema anataka kutoka so tuseme tulichofata...aunt akajieleza sanaaaaaaaa lkn Franco alianza kulia akasema shangaz niko tofaut na baadhi ya wanaumw..Mimi no mpumbavu kuliko woote ndio maana bint yako amewexa kuni hezea hivi...mama yangu alikufa nilipozaliwa .nimekosa upendo wa mama nikaweka upendo WANGU wrote KWA mke WANGU......nilimpa kila anachotaka mke WANGU...alibibadirikia ghafla .. Muongo..msiri.. Sijui alikosa ninj..akashindwa kulinda upendo WANGU..

[23:14, 02/02/2015] Lily .CPA: Alieleza mengiiii jins Ali yokuwa akinifatilia anasema pale alielekezwa KWA njia ya simu. Alisaidiwa na best friend wake Yuki mtandao wa (jina kapuni)......pia yule Shem WANGU alisaidia kujua niko wapi kwa system yao wanayotumia huko kazin kwao ndio MANA walifika anasema yeye aligundua siku nying nachepuka na hakutaka kuambiwa alikuwa akinionya tu labda nitaacha mwisho akasema hataniacha had athibitishe so Hatabnisamehe kamwe

[23:14, 02/02/2015] Lily .CPA: Alieleza sana jins inavyotumika kukukamata kama wakihitaji na imlicost sanaaaaa. Basi alisema nikiendelea kumuona hapa ntazid kuumia nitamfanya kitu kibaya hatasau mtanipa kesi.. Shangaz kama mmemchoka Mtoto wenu mwachen hapa ila kama mnampenda naomba nenden nae

[23:14, 02/02/2015] Lily .CPA: Alikataaa kabisa nikamfata kwa magot akagoma akasema ana hasira niondoke zikiisha ataniita..tukaondoka na aunt kesho yake nikapigiwa simu na mchungaj kanisani tulikokuwa tunaabudu niende ofcn kwake.....nilienda nikiwa mpole nimevimba macho KWA kuliaa nikammkuta Franco nae yupo huko na yule shem WANGU askari aliekuja nae mkuranga

[23:15, 02/02/2015] Lily .CPA: Akaelexa KWA mchungaj kisha akasema nilimchukulia hapa...mkatubarikia hapa....namuachia hapa...tukitoka hapa atafute pa kwenda.... Kama kutakuwepo na anachodai aende mahakamani nitakutana nae huko na nitamlipa anavyodai.... Nguo xake nimeshusha KWA mama aggy ( ni mama anaefanyaga USAF kanisan na ofcn KWA pasta).akaniadai funguo za gar yake...badae akasema ah gari nakuachia vingine atafanya kelvin..kama tulisaidiana nae vingine bas na huduma achangie..nwambie akutafutie pa kuishi..akujengee, ukija nyumban utatoka maiti

[23:15, 02/02/2015] Lily .CPA: Pasta alimsihi sanaaa Franco aliondoka bila kujibu chochote....pasta akasema hana jins ila atazid kuongea nae lkn pia kqa sheria za kanisan kwetu lazima nitengwe nipewe adhab KWA dhambi ya uzinzi
[23:16, 02/02/2015] Lily .CPA: Nilirud kW shangaz akasema tumpigie mama simu tumueleze mama alilia sanaaaaaaaaaaaa Alinisema sana akampigia Franco aongee nae Franco alikataa aa akanwambia mama too late and I. Sorry sihitaj maongez juu yake

[23:16, 02/02/2015] Lily .CPA: Mama alikuja toka kwake tukaenda KWA Franco tukaambiwa kachukua rikizo kaenda kupumzika south Africa.. Na hiyo safar ilikuwa twende wote na yeye alikuwaga ameniambia nifanye research tufikie hotel gani nzur..ameenda peke yake..nikaaanza kulia

[23:16, 02/02/2015] Lily .CPA: Ulipita mwaka ..mzima nikiwa ba kelvin baaada ya Franco kunikataaa Mungu akaniadhibu tena kelvin alienda kuoa UK na alioa kwa siri....nilijua baada ya ndoa yake nilikuwa kama kichaaaa

[23:17, 02/02/2015] Lily .CPA: Nilisikia kuna mdogo wake franko amefariki nikaenda msibani na rafiki zangu nikaonywshwa msichana anaeishi na Franco kwa sasa... Franco kanisan kahama sijui anasali wapi kifupi haeleweki maaana nilijua nitamuona kanisan tu...mbaya zaid bint Hugo nilikuwa namjua alikuwa jiran yetu na alikujaga kumaaidia aunt yake vikazi vya ndani baada ya kutoka kijijin nikasema poor franco ameendabkukavhukua kasichana kadogo kias hiki? Aliponiona msiban alistuka ila hakunisemesha lolote ndugu baadhi walinipokea wengine walinichunia

[23:17, 02/02/2015] Lily .CPA: Najipa moyo iko Sikh nitarud kwa franco WANGU tu!

[23:18, 02/02/2015] Lily .CPA: .HIVI NDIVYO NILIVYOACHWA NA FRANCO WAAMBIE WASHEE ILA MAENEO MUHIMU YAFICHE KABISA KWA USALAMA WANGU..ITAWASAIDIA..KAMA MME WAKO ANAKUPENDA MUHESHIMU MIE HAPA NIMEPOTEZA DIRA YA MAISHA YANGU.. FAMILIA NZIMA IMENIDHARAU MAMA KILA AKINIONA ANANISEMA....KIWANJA CHA FRANVO KIPO TU..NIMEPANGA NYUMBA YANGU NAISHI. NAKULA LAKIN BADO SIJAKIDHI HAJA YA MOYO WANGU NAJIULIZA IKO SIKU FRANCO ATARUDI KWANGU? MUNGU ANAJUA

[23:19, 02/02/2015] Lily .CPA: AMERUHUSU KUSHARE GROUP ZINGINE KAMA MTAHITAJ ILI MJIFUNZE, MAAANA SIJAITAJA JINA..MUHUSIKA AMWRUHUSU ANATAKA KUTUFUNDISHA

[23:20, 02/02/2015] Lily .CPA: nimelia sana KWA comment za watu wengine wamenifariji ila hali yangu naijua mwenyewe.

Waruhusu watumie ushuhuda huuu wajigunze kupitia Mimi. Kama umeolewa na unaheshimiwa...shikilia sana ndoa yako
 
Hii n mara ya 3 naisoma lkn bado nakua interested kama n story bac m2nz apew cfa ila kama n kwel bac hich n ksa cha mwaka n wanaume wachache san wenye uwezo kama wa huyo jamaa na kwa hapo alpofkia hata dunia igeuzwe chn juu halafu irudshwe tena hawez kusamehe kuna vng vya kujfunza kuptia huu mkasa hasa kwa uyo jamaa anastaili pole na pongezi...ni hayo 2 kwangu mm
 
dah!' hapana aisee sredi kama noval ............ ifupishe bhana tuweze kuisoma.
 
Duh..!
Hatari...hatari hatari sana (mwanaume unamapenzi hata shetani anaogopa)

Babu yangu aliwahi kuniambia wanawake hawajui wanachotaka.
 
duh mwanzoni sikuielewa nilipofika sehemu anakwenda bagamoyo nikakumbuka nimewahi kuisoma asante lakini tunajifunza
 
Duh..!
Hatari...hatari hatari sana (mwanaume unamapenzi hata shetani anaogopa)

Babu yangu aliwahi kuniambia wanawake hawajui wanachotaka.

Wanawake wengi hawajui wanachotaka.. True saying mkuu... Kuna watu wawili wenye hekima na busara zao washawahi kuniambia hivi.. Hakika na babu yako ni watatu sasa,, nimejifunza kitu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom