Sioni kwa kwanii hilii liwashangaze, hata shule tulikuwa tunazidiana ufaulu, hivyo kuwepo mabadiriko ya nafasi kwenye matokeo ya jumla. Kuna wakati unakua wa kwanza na kuna wakati unakuwa wa pili, ah tatu. Inaweza kutofautiana mark 1, ukapata 99 minzani Zapata 100 hivyo utakuwa wa pili. Vivyo hivyo hapa, unaweza kuta tulizembea mahala tumekuwa knocked further down, tuongeze juhudi tutarudi tu.