Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,701
Licha ya kuzungushwa hivyo, pia sio taasisi moja inayotoa hivyo vibali. Unaweza kukuta hadi ufanikiwe upite katika taasisi na wizara zaidi ya moja.Hapana mkuu inawezekana ila bado utashi wa kufanya hivyo kwa watendaji wa huku chini haupo tayari.
Jana tu kwny taarifa ya habari huko Bunda kuna jamaa anaitwa Kweka alikua analalamika kwa mkuu wa mkoa,kwamba amefuatilia vibali vya kujenga kiwanda cha kuchakata mazao na chakula cha kuku lkn ni miaka sasa anazungushwa so akasema ameamua kujenga hivyo hivyo bila vibali na atakayemsumbua basi yeye ataenda kumshtaki kwa rais maana rais aliwambia wajenge then mambo ya vibali yatafuata.
Unaweza ukapa picha sasa mkuu.