Yupo. Niliona juzi anawakusanya wenzie wanaomiliki magari ya mzungu.Aisee! Ni mda sijaona michango yake hapa jf.. Ataka ulizia kama yupo mzima
Jambazi nipo sanaAisee! Ni mda sijaona michango yake hapa jf.. Ataka ulizia kama yupo mzima
Ha ha ha
Happy 2nd anniversary ya.........
Ha ha ha...wewe sio mmoja wao?Yupo. Niliona juzi anawakusanya wenzie wanaomiliki magari ya mzungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rondo ni kijijini kwa Mh. Membe..Jambazi nipo sana
Hapana chief. Jina hili nimeliiba Kwa Rajon Rondo RRondoRondo ni kijijini kwa Mh. Membe..
Hivi Comred wamjua Dick Membe?
Hahahahaa we jamaa ni msanii sana.. Kule kwenye basketball tulikuuliza ukasema ni kijiji chenuHapana chief. Jina hili nimeliiba Kwa Rajon Rondo RRondo
Ha ha ha kule mlinibana ikabidi nijikatae.Hahahahaa we jamaa ni msanii sana.. Kule kwenye basketball tulikuuliza ukasema ni kijiji chenu