Where is Jr Junior wa East Africa Radio?

Jr Junior na Frida wote hawapo EA Radio kwa sasa, na mbadala wao ushapatikana, Kuna tetesi Frida tayari yupo Clouds japo bado hajatambulishwa rasmi, JR soon kuna sehemu tutamuona

Siku hizi nashindwa kuleta NYUZI za haya mambo, JF wamekuwa wanazifuta sana kila nikiweka wanafuta imenikatisha moral nimeamua kuachana nazo
Ahsante kwa update, sheikh

Any update on Sam Misago?
 
mi nataka kujuu jamaa anayfanyaga usjali palee east africa redio jamaa anaupeo mkubwa sanaa....!! maana kinaondokaga kitu kina leta kitu kipyaaa alafuu kina kiki balaaaa...
hasa huyu fredooo jamaa nathani ametuliasanaaa kuliko yale makelele ya jr junior nilikua simwelewagi kabsaa....
ila fredooo dogo yuko ft sanaaa...
 
mkuuu huyoo lesaa said nilivyo msikiaga mara kwanza nilithani anna peter karudi....!! ilaa fresh namwona mbaliii nayeye akijitumaaa zaidi
Lessa katoka Tanga huko sema mbaya kinoma hana kalio sura kama ya baba ake.

Ila ni mkali balaa kwenye kusoma News kwenye Radio
 
Jr Junior na Frida wote hawapo EA Radio kwa sasa, na mbadala wao ushapatikana, Kuna tetesi Frida tayari yupo Clouds japo bado hajatambulishwa rasmi, JR soon kuna sehemu tutamuona

Hivi huyo Frida ndio Malkia Fifi? Ndio kale kadada huwa kanacheka check Kenny dak10 za maangamizi??

Kuondoka kwa Jr kutaiathiri Dak 10 za maajab. Dulla hanaga vibe la kuwakoleza wahuni..
 
mi nataka kujuu jamaa anayfanyaga usjali palee east africa redio jamaa anaupeo mkubwa sanaa....!! maana kinaondokaga kitu kina leta kitu kipyaaa alafuu kina kiki balaaaa...
hasa huyu fredooo jamaa nathani ametuliasanaaa kuliko yale makelele ya jr junior nilikua simwelewagi kabsaa....
ila fredooo dogo yuko ft sanaaa...
Nasa Kingu PM ndio anaefanya usajili, anajicho sana jamaa, japo huwa anapokonywa ila Mikoani huwa anachomoa sana vipaji
 
Hivi huyo Frida ndio Malkia Fifi? Ndio kale kadada huwa kanacheka check Kenny dak10 za maangamizi??

Kuondoka kwa Jr kutaiathiri Dak 10 za maajab. Dulla hanaga vibe la kuwakoleza wahuni..
Ndio huyo alishashiriki BSS, baada ya hapo akaenda Radio5 Arusha, Jicho la Nasa Kingu likamuona akajiunga EA radio na Kingsmash kutoka Dodoma
 
mi nataka kujuu jamaa anayfanyaga usjali palee east africa redio jamaa anaupeo mkubwa sanaa....!! maana kinaondokaga kitu kina leta kitu kipyaaa alafuu kina kiki balaaaa...
hasa huyu fredooo jamaa nathani ametuliasanaaa kuliko yale makelele ya jr junior nilikua simwelewagi kabsaa....
ila fredooo dogo yuko ft sanaaa...
East africa wanajichotea watangazi radio ebony iringa
Fredo mbunji
Dj mubah
Tigana lukinja
David kampista
Ibra kasuga
Bahati Alex
 
Jr Junior na Frida wote hawapo EA Radio kwa sasa, na mbadala wao ushapatikana, Kuna tetesi Frida tayari yupo Clouds japo bado hajatambulishwa rasmi, JR soon kuna sehemu tutamuona
Frida uwa namwelewa sana
 
East africa wanajichotea watangazi radio ebony iringa
Fredo mbunji
Dj mubah
Tigana lukinja
David kampista
Ibra kasuga
Bahati Alex
Aiseee 3-5 Vichwa hatari sana hivyo kwenye michezo kumbe wametoka EBony ,Basi Ebony inavipaji sana kama SAUT kwa wanahabari.
 
Watangazaji wengi wa michezo wa radio nyingi huchukuliwa ebony fm
1; Yusuph Mkule- wasafi
2;Musa kawambwa-azam
3;David kampista- ea radio
4;Tigana Lukinja-ea radio
5;Ibra kasuga- ea radio
6;Twalib Omar-efm
7
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom