Where did you meet your Boyfriend/Girlfriend or Fiancee/fiance or Wife/husband?

Nitake radhi kabla sijatoa uamuzi mgumu.
Loya wenu tumekutana kuleee kwenye Funeral ya Kanumba!!
Lol..!!!

Kabla sijafanya hivyo utakavyo, kwanza nijibu swali, ina maana Loya ulimbiriki wewe? Na wewe kinyume chake kwake ?
 
First employers wanahusika sana kutukutanisha hasa kwenye ajira zenye wafanyakazi vijana as proffessional firms,,,, wedding bells zinaweza zikalia soon
 
:biggrin1: eti wrong number duh watu wako sharp
yeah.
kuna mkaka kila siku asubuhi nilikuwa napokea simu toka kwake, i.e. alikuwa ananiamsha kila siku. hanijui simjui. anataka kuongea na mtu yupo iringa, mimi hata sijawahi fika iringa. kila siku namwambia wrong number....kesho yake tena. mwisho akaniambia "mi nadhani Mungu ametaka kutukutanisha kwa aina hii, inakuwaje kila siku nampigia mtu ambaye najua namba yake inakuja kwako?" nikamwambia "mimi naona huyo ni shetani, angekuwa mungu asingekuongoza kwangu, maana anajua mimi tayari nipo komited". hiyo ilikuwa wrong number ya mwisho, lol!
 
mimi 14, nilienda kumtembelea kaka yangu tukagongana huko, ni rafiki wa kaka yangu
 
Huyo hafai Kuwa rafiki wa kaka yako otherwise akuoe kabisa asikomee kumega tunda tu hapo ndo atakuwa rafiki afaaye kwa kaka yako!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
yeah.
kuna mkaka kila siku asubuhi nilikuwa napokea simu toka kwake, i.e. alikuwa ananiamsha kila siku. hanijui simjui. anataka kuongea na mtu yupo iringa, mimi hata sijawahi fika iringa. kila siku namwambia wrong number....kesho yake tena. mwisho akaniambia "mi nadhani Mungu ametaka kutukutanisha kwa aina hii, inakuwaje kila siku nampigia mtu ambaye najua namba yake inakuja kwako?" nikamwambia "mimi naona huyo ni shetani, angekuwa mungu asingekuongoza kwangu, maana anajua mimi tayari nipo komited". hiyo ilikuwa wrong number ya mwisho, lol!

:biggrin1::biggrin1: hapo ulimmaliza kabisa
 
Back
Top Bottom