Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 803
MMU Members hamjambo? wikiend iko vipi?
Sina mengi ya kusema kwa leo bt nataka kuwapa ZAWADI, hii ni kama dedication yangu kwenu kwa upendo wenu na urafiki wetu tunao uonyesha humu jamvini, pia wimbo huu uwafariji muwapo na wapendwa wenu, utawapa furaha.
Kwa wale wataalamu mtanisaidia ku'Upload Lyrics za wimbo wa Ronan Keating-WHEN YOU SAY NOTHING AT ALL. Its special to you guys, I hope you will enjoy it. NAWAPENDA SANA.