When you reach this stage - retire or resign Please!

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
resign.jpg
 
Watu kama hao bongo wapo wengi tu.Watu wanaenda mahakamani kuapa kwamba walikosea umri wa kuzaliwa ili waendelee kufanya kazi kwa muda mrefu.Hii inatokana na kukosa uhakika wa maisha baada ya kustaafu kunakosababishwa na maandalizi duni ya maisha baada ya kustaafu na kwa sehemu kubwa mafao kidogo yasiyoweza kukidhi mikiki ya maisha.Watu kama hawa mara nyingi huwa mzigo sana maofisini na kazi zao husaidiwa na vijana.Kwa kweli wanatia huruma sana.
 
Pensheni yenyewe anayopewa haitoshi hata kumsogeza. Kwanza yenyewe inakuja in time bila kupata maji ya pilipili?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom