When Women Take Charge..!

biologically huu utafiti uko sahihi. mahitaji ya ku-duu yanapishana kati ya hao wanadamu wawili
 
Kufuatia utafiti uliofanywa East, Southern and Western Africa, imegundulika kuwa wanawake wenye 'maamuzi ya mwisho' juu ya sex ndani ya ndoa zao hupata huduma hiyo less than wale ambao waumezao ndio wenye final say. Utafiti huu uliofanywa na Johns Hopkin's Bloomberg School of Public Health Study, umebainisha yafuatayo;
- Uganda, Mali na Rwanda - ambako wanaume wana say kubwa kuliko wanawake (hasa Malawi na Mali) - tendo hili hufanyika mara 1 kila baada ya siku 8
- Rwanda na Zimbabwe - Mara 1 kila baada ya siku 6
- Ghana - Mara 1 kila baada ya siku 28.!!

Source: The EastAfrican : October 3 - 9, 2011 pg X
Section: Health & Lifestyle under the same tittle.

Nimejikuta nina maswali mengi juu ya hii article.
1. Title ya hii article inajaribu kulink power of a woman and sexual matters in a negative way
2. Je wanaume na wanawake wana sexual urges (sijui ndo mnaita libido) tofauti - wanaume wakiwa na ya hali uya juu kuliko wanawake au??

Mwajj1

Hii kitu imevuntia sana, nkajikuta nabandika excerpts zake kwa wall yangu FB...sinaona Tz apo, nahisi ingekwa mara tatu kwa wiki jamaa wanapiga vyombo...nonetheless nimevutiwa na utafiti wa Ghana, once for every 28 days?! duh! jamaa wagumu.
Though sample space (watahiniwa) nimeonelea imekua ndogo sana vis a vis idadi kamili ya wanandoa, hence sion kama n sahihi ku generelize out of tht kuwa nchi flan Wanandoa wako hv na hv.
 
Back
Top Bottom