When Women Take Charge..!

Hapana The Finest, hawa wametoa kabisa sample size ya kila nchi husika sema tu sikuzishika vizuri but kuanzia wanawake elfu 3000 kila nchi. Na hebu basi tusilizingumzie sana hili la methods (am sure justifications zipo wajameni, kuna research statistics ambazo nina amini kuwa zinatoa angalau picha iliyo karibu na uhalisia. Mbona tafiti za UKIMWI na prevalence rates zake mnaziamini??? hebu bwana

Zungumzia kwa nini haiwezekani na utoe possibilities nawe eheee!
Hivi haya mambo kwanini watu wanapenda kuwekeana kingo msemo wa GY,hizi Kingo za nini hizi, vile vile najaribu kuangalia ule muhemko sijui wanaupeleka wapi pamoja na kwamba wanasema mwanamke anaweza kukaa kwa muda mrefu bila kufanya mapenzi lakini hili suala linaangukia kwenye ndoa kama utafiti unavyosema basi infidelity is at the highest rate
 
Lol..kumbe?
Na nyie itakuwa mna do baada ya siku ngapi?

Hahahahaha Rejao unataka kuwaplace kwenye kindi la 'After 28 days' nini ;oh
cpati picha.

Ila twende mbele na kurudi nyuma, huu utafiti umenifanya niwaze mengi. Natamani kuwasikia wanaume ambao wanajua (ushahidi) kuwa mwanamke akiwa na say ndani ya nyumba anakuwa na say pia juu ya tendo; na akiwa na say juu ya tendo huwa wanalitenda mara chache sana kulinganisha na kule ambako mwanaume anayo say! (Nafikiri hii si ngeni kwani nilishasikiaga yake ya ........Mama naniliu hebu geukia huku basi - hata kama mama naniliu najisikii basi atageuka la sivyo atashtakiwa kwa kumnyima baba naniliu haki yake ya ndoa!!

Sijui wenzetu Ghana hawanaga mambo ya haki za ndoa au vipi mwe huu utafiti NN ana haki ya kukwesheni validity yake..... i.e. je kweli wametafiti walichokusudia? au wametumia njia sahihi kutafiti walicho kusudia?? Nyie akina John Hopkin hebu mkuje mtujibu hapa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom