When Women Take Charge..!

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Kufuatia utafiti uliofanywa East, Southern and Western Africa, imegundulika kuwa wanawake wenye 'maamuzi ya mwisho' juu ya sex ndani ya ndoa zao hupata huduma hiyo less than wale ambao waumezao ndio wenye final say. Utafiti huu uliofanywa na Johns Hopkin's Bloomberg School of Public Health Study, umebainisha yafuatayo;
- Uganda, Mali na Rwanda - ambako wanaume wana say kubwa kuliko wanawake (hasa Malawi na Mali) - tendo hili hufanyika mara 1 kila baada ya siku 8
- Rwanda na Zimbabwe - Mara 1 kila baada ya siku 6
- Ghana - Mara 1 kila baada ya siku 28.!!

Source: The EastAfrican : October 3 - 9, 2011 pg X
Section: Health & Lifestyle under the same tittle.

Nimejikuta nina maswali mengi juu ya hii article.
1. Title ya hii article inajaribu kulink power of a woman and sexual matters in a negative way
2. Je wanaume na wanawake wana sexual urges (sijui ndo mnaita libido) tofauti - wanaume wakiwa na ya hali uya juu kuliko wanawake au??
 
Hebu nitafakari then nitarudi baade maana huu utafiti ni kiboko
Wangeweka na tanzania tuone hali ikoje maana hapa kuna different culture na different perspective kuhusu sex kwa makabila mbalimbali
 
Hebu nitafakari then nitarudi baade maana huu utafiti ni kiboko
Wangeweka na tanzania tuone hali ikoje maana hapa kuna different culture na different perspective kuhusu sex kwa makabila mbalimbali
Yaani Mr Rocky nimebaki na maswali lukuki! Maana ukianza kuangalia kwa jicho la tatu ina maana wale wanaokaa muda mrefu bila mf. Ghana wanaishiishije kama si kucheat kwa kwenda mbele?
 
Ningependa kujua huu utafiti ulifanywaje i mean njia gani zilitumika
Survey method; interview as the technique combined with secondary information from reports like Demographic Health Surveys e.t.c

Sampling frame: walikuwa wanawake wote walioolewa (excluding singles, widows, separeted, divorced na wale walio katika ndoa za wake wengi )
 
Yaani Mr Rocky nimebaki na maswali lukuki! Maana ukianza kuangalia kwa jicho la tatu ina maana wale wanaokaa muda mrefu bila mf. Ghana wanaishiishije kama si kucheat kwa kwenda mbele?

Hapo ndipo ninapopata wasi wasi na hizo tafiti maana ule mhemko wanaupeleka wapi kama sio kwenye nyumba ndogo
Na ukiangalia kwa hao wanaume kukaa siku nane bila sex ni issue sana
 
Survey method; interview as the technique combined with secondary information from reports like Demographic Health Surveys e.t.c

Sampling frame: walikuwa wanawake wote walioolewa (excluding singles, widows, separeted, divorced na wale walio katika ndoa za wake wengi )
Basi Ghana watakuwa na high rate of Cheating!!! Mara moja baada ya siku 28
 
Rejao, hili linahitaji utaalamu wa mapenzi kweli? Ah bana .... Hebu jiulize wanaume waliooa Ghana wanaishiishije iwapo kwa wastani wanapata huduma ya ndoa mara moja ndani ya siku 28?
 
Mimi surveys kama hizi huwa nazichukulia with a grain of salt.

It is wise not to take/ accept them as gospel truth.

Accept ila with tahadhari kubwa maana huwa sometime kukuelezea kwamba what will happen if something happen halipo
maana hapa tunaelezwa wanaweza kukaa siku nane bila sex then what will happen if hawatafanya sex kwa siku hizo nane
 
Mimi surveys kama hizi huwa nazichukulia with a grain of salt.

It is wise not to take/ accept them as gospel truth.

.... Its true usemayo kakangu yaani sometimes tunapewa issue za ajabu sasa kama Ghana ambako ndo less kihivyo je hali hii inaendana na ukubwa wa janga la UKIMWI au watasema wanaume wa huko hawacheat, au wakicheat wanatumia kinga?! Ah hata sijui kama nimeuliza maswali yanayoeleweka!
 
Kuna thread ilianzishwa hapa ilisema men need it every 3 days and women every 7 days so yes, there is a difference. na kama unavo jua kuna vipindi we need it everyday (everytime) and some period we just need ice cream and visa cards... lol
 
Accept with quotion maana huwa sometime kukuelezea kwamba what will happen if something happen halipo
maana hapa tunaelezwa wanaweza kukaa siku nane bila sex then what will happen if hawatafanya sex kwa siku hizo nane

And we have no way of verifying the veracity of their responses!

Mtu anakwambia hajaundama kwa wiki nne....mimi na wewe tuna uhakika gani na anachotuambia?
 
hao lazima watakuwa na damu tofauti na zetu inakuaje labda watuambie wanavibanda saidizi pembeni
Rejao, hili linahitaji utaalamu wa mapenzi kweli? Ah bana .... Hebu jiulize wanaume waliooa Ghana wanaishiishije iwapo kwa wastani wanapata huduma ya ndoa mara moja ndani ya siku 28?
 
.... Its true usemayo kakangu yaani sometimes tunapewa issue za ajabu sasa kama Ghana ambako ndo less kihivyo je hali hii inaendana na ukubwa wa janga la UKIMWI au watasema wanaume wa huko hawacheat, au wakicheat wanatumia kinga?! Ah hata sijui kama nimeuliza maswali yanayoeleweka!

Na hao wanaume wa ki Ghana wakicheat wanacheat na nani? Si wanacheat na wanawake...(kwa kiasi kikubwa)
 
Back
Top Bottom