When will i enjoy gvt services heslb

Kauzu B

Member
Aug 26, 2011
15
1
Wana jf naombeni ushauri wenu ,nimechaguliwa chuo kikuu ila sijapata mkopo, what can i do so that i can get loan????

Worry less there are still names 2 come out...so pray hard cause God listnes and dont 4get 2 be patient...

haya ndio tuliokuwa tunalalamika matokeo yatolewe mapema tcu na heslb. Kichekesho wamenichagua katika vyuo viwili tofauti lakini kozi moja na mkopo nimekosa. nimeongea na wazazi wangu nikawapa mahitaji ya mwaka jibu walilonipa natamani kulia. nitaendelea kuiota elimu ya juu tanzania. kusoma kwa bidii kuitafuta div one hakuna maana yoyote kwa mtu masikini kwa nchi hii. mliobahatika tunawatakia kila lakheri katika masomo yenu sisi wengine tunasubiri ajira za jeshi....

nasikitika sana kama umekata tamaa mapema ivo! kama unavyovigezo vyakupewa mkopo utapewa tuu.. ila kama hakutakuwa na mabadiliko basi ni wazi kuwa karibu nusu ya succesful applicants without loan to drop out!

haya ndio tuliokuwa tunalalamika matokeo yatolewe mapema tcu na heslb. Kichekesho wamenichagua katika vyuo viwili tofauti lakini kozi moja na mkopo nimekosa. nimeongea na wazazi wangu nikawapa mahitaji ya mwaka jibu walilonipa natamani kulia. nitaendelea kuiota elimu ya juu tanzania. kusoma kwa bidii kuitafuta div one hakuna maana yoyote kwa mtu masikini kwa nchi hii. mliobahatika tunawatakia kila lakheri katika masomo yenu sisi wengine tunasubiri ajira za jeshi....

ondoa hofu mdogo wangu,utapata 2,stl kuna majina yataongezwa hv karibuni.

watatumia utaratibu gani kuongeza hayo majina?mbona hawajasema lolote kwenye website yao kuwa wataongeza majina?kweli elimu juu ni ndoto kwa tulio wengi.INAUMA SANA.

Nijuavyo kwa chuo cha sua huwa mkifika kuna majina mnaandika. Vile majina yanatoka kwa batch. Iliyotoka sasa, nadhan itakuwa ni first batch. Nategemea watatoa mengne.

ondoa hofu mdogo wangu,utapata 2,stl kuna majina yataongezwa hv karibuni.
Asante kaka kwa kunifariji.
Sijui hawa heslb wanachaguwa watu kwa vigezo gani. Kwa mfano mm nimepata div one, wazazi wangu wote ni retired baba 1991 na mama 1996. shule nilizosoma kuanzia pr hadi sec ni za serikali cha kusikitisha hawakunipa mkopo hata asilimia 10. Hii haingii akilini wala haikubaliki. wakati nina bro wangu pale udsm anamalizia mwaka wa tatu yy alipata mkopo asilimia 90. Au lazima kila mtu awe yatima, mlemavu au asome ualimu na sayansi ndio apate hisani ya serikali???!!!!........

Pole ndugu yangu. Pia wanaangalia mali mnayomiliki. Mfano. Kuna watu walidanganya hawana shamba wala nyumba. Hii inawapa wasiwasi kwakuwa hauna kitu cha kuweka rehani. Nimegundua kuwa watoto wengi wa wafanyakazi wa serikalini wamepata fair kubwa sana. Mf mimi!

Hapana nimeckia kigezo kimojawapo ni wale fresh from shule yaan f6 wa 2011 ndo wengi wamepata mkopo ila mtoto mchovu kama mimi nilihitimu mwaka 2005 na kunyimwa mkopo kwa miaka yote niliyoomba pamoja na kupata nafasi za vyuo na kuamua kukaa nyumbani hadi leo naambiwa NON PRIORITY, Je wanataka nisisome maisha yangu yote? Kweli inaniuma sana najuta kuzaliwa kwenye familia isiyo na uwezo japo namshukuru Mungu kunipa wazazi pia, Je nifanye nini niweze kusoma? Nitakwenda kwa nani?

Duh! Pole sana ndugu!

^.....inasikitisha. :(

Wana jf naombeni ushauri wenu ,nimechaguliwa chuo kikuu ila sijapata mkopo, what can i do so that i can get loan????

Pole sana mkuu, nakushauri ujaribu mwaka ujao ukizingatia kozi zilizo na kipaumbele zaidi.

Asante kaka kwa kunifariji.
Sijui hawa heslb wanachaguwa watu kwa vigezo gani. Kwa mfano mm nimepata div one, wazazi wangu wote ni retired baba 1991 na mama 1996. shule nilizosoma kuanzia pr hadi sec ni za serikali cha kusikitisha hawakunipa mkopo hata asilimia 10. Hii haingii akilini wala haikubaliki. wakati nina bro wangu pale udsm anamalizia mwaka wa tatu yy alipata mkopo asilimia 90. Au lazima kila mtu awe yatima, mlemavu au asome ualimu na sayansi ndio apate hisani ya serikali???!!!!........

Wasipo kuhisani kabisa, kuna nafasi za rufaa pia, usikate tamaa utapata tu.

Hapana nimeckia kigezo kimojawapo ni wale fresh from shule yaan f6 wa 2011 ndo wengi wamepata mkopo ila mtoto mchovu kama mimi nilihitimu mwaka 2005 na kunyimwa mkopo kwa miaka yote niliyoomba pamoja na kupata nafasi za vyuo na kuamua kukaa nyumbani hadi leo naambiwa NON PRIORITY, Je wanataka nisisome maisha yangu yote? Kweli inaniuma sana najuta kuzaliwa kwenye familia isiyo na uwezo japo namshukuru Mungu kunipa wazazi pia, Je nifanye nini niweze kusoma? Nitakwenda kwa nani?

hapana mkuu,mbona kuna mchz wangu kaua 4m 6 2009 na wamempa,ila nyie kuweni na subira,mtarekebishiwa 2 hv karibun.

jaman wanasema mwaka huu hawakuzingatia division.coz weng wana 1 wamekosa mkopo.na wengine wana 3 wamepata mkopo.SO TU PRAY FOR GOD 2PATE MKOPO

Back
Top Bottom