when wil these things come to an end? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

when wil these things come to an end?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakabana, Jan 19, 2011.

 1. m

  mwakabana Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sorry for this post if will be confusing,
  toka nianze kufuatilia politics za bongo al the tyme nimekuwa confused all tyme coz wat have realized is that all we ant gov we end up on blaming and putting very strong posts in various media. My suggestion is hawa members ambao wamo humu jamvini bila uoga waende kama ni wabunge or any other stakeholder they go and speak out publically kwamba watanzania wamechoka kuonewa. think of everything in high cost, na nauli ziko mbioni kupanda afu hii haiingii akilini watu wanapiga kelele pamoja na sisi tuliopigika afu wenyewe mishahara yao wengine ni zaid ya 7m ko pls wabunge pls kama mnataka tuwakubali zaidi go and cut your salary. ILA SIO KA NINA WIVU BUT AM PRESENTING THE REALITY COZ SIO KA WE BLAME TOGETHER KUMBE WAO WANALALAMIKA COZ HAWAJAPATA CHANCES ZA KUFISIDI
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280

  mkuu... ahsante sana.."speak out publically" as you said..... hivi unadhani haya hayafanyiki... wapo wabunge na wanasiasa mahiri, wapambanaji na mashujaa ambao wameshaongea na wanaendelea kuongea hadharani kila kukicha... kwani hii issue ya DOWANS imeanzia wapi.. ni wabunge wa upinzani waliibua hadharani ndani ya bunge.... au labda mwenzangu hauelewi hali halisi ya huku bongo..unaipata tu through JF..... sasa hivi tu waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki Hon. Samwel Sitta amepinga hadharani malipo ya tuzo ya DOWANS ..... hivi unajua wabunge wa CCM wapo takriban 196..... na CHADEMA kama 46 hivi.... sasa sauti ipi itasikika... kikubwa ni kuleta mapinduzi ya siasa kwa kukiweka pembeni chama tawala na kuwapa ridhaa wapinzani ambao wameonyesha nia ya dhati ya kupiga kelele hadharani.... rudi huku upambane na wazalendo wenzako
   
 3. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ku cut mishahara ya wabunge haina msaada kwetu. Ziondolewe kodi zisizo na msingi, matumizi ya serikali yasiyo ya lazima yapupunguzwe, wizi wa mali za umma udhibitiwe, utaratibu na vitu vya kuingiza toka nje uangaliwe upya....et al ndivyo vitaleta impact ktk kipato na maisha yako!
   
Loading...