..when ur ex is Getting Married!

Niliudhuria send off ya x girlfriend wangu niliumia sana pale jamaa alipoambiwa amtafute mpenziwe alipojificha alafu binti alijificha karibu nami
 
Mkuu kuoa imani tu,maana mademu wenyewe wa siku hizi vicheche,but kupunguza mawazo wwe oa ila na wwe ex akija jipendelee tu maana hujui mwenzako alikuwa wapi mchana kutwa!
 
huwa mie nashindwa kuelewa, watu wawili tena bado wapendanao na wanafahamu hili ni nini kinawashinda wakarudiana na kuendeleza penzi la dhati kuliko kujikomit kwa watu wengine na kuendeleza kujirusha eti ''kukumbushia penzi''....
Yaani sijawahi elewa hili kabisa!!
 
Back
Top Bottom