Youandme
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 200
- 113
Habari Zenu,
Ndugu Watanzania, leo nataka tuongelee UJAMAA, hasa hasa vipi ilisaidia Tz kuwa PIONEER(kinara) kuhusu mambo ya nje na hile sera ya : NON-INTERFERENCE POLICY. Tukumbuke kama TZ, wakati ya UJAMAA, ilikuwa inapinga nchi zingine(West) kuingilia mambo ya ndani za nchi maskani. Wanasiasa wetu wakajaliwa kuendelea na hiyo sera. Hivyo hivyo, hao wanasiasa walikuwa wanasoma/wanafuata itikadi za kicommunist: URSS,China,...
Na, katika sera kubwa za Kicommunist-socialism-ujamaa, Non-interference policy ni nguzo moja yao.
Swali 1 : Je, Watanzania wanajua kama USA iliwahi tuomba Tz ipeleke majeshi yake kule Somalia ? Hata Kenya iliomba Tz ipeleke majeshi yake.
Natumaini kwamba baadhi ya Watanzania wanajua hiyo ombi.
Jibu ni YES: USA (na Kenya) iliomba TZ ipeleke majeshi yake kule Somalia.
Na, nawapa ushahidi (for more evidence, see links below) :
a) US & Kenya request :
b) Tz answer:
Swali 2 : Kwanini tulikataa ?
Mimi nafikiri tulikataa, siyo kwamba Somalia ilikuwa ni hatari sana(Yes it was), lakini kwa sababu tulijaliwa kuwa na watu wenye itikadi ya UJAMAA( non-interference), tukaweza kusema NO. Hatutaki.
HOFU LANGU: Je,haya ndio matunda ya mwisho ya UJAMAA? Yaani:
- Tanzania inayo tena wanasiasa wenye sera ya non-interference ?
- CCM inayo tena wanasiasa wenye sera ya non-interference, sera ya UJAMAA ?
- Tanzania itaweza kukataa ombi ya nchi nyingine when it's come to send troops in other country?
- Je, siyo mwanzo ya kuwa kibaraka ?
Why:
Tukitizama the "new generation of politician" : Makamba Jr.( US studies), Bernard Membe( US studies),... sizani kama tutaendelea na hiyo sera. Wanasiasa wetu wanaanza/wako more pro-western then before(I don't say they have to be no pro-western but we have to continue with our policy ). Tunaanza kuwa kama Kenya: Will we win ?
--> Naomba utowe mawazo yako kuhusu hiyo "new generation of politician": sera zao, unafikiri tunaelekea kuwa pro-western pakaa kuwa kibaraka ? Unafikiri bado tunayo wanasiasa wenye sera ya Ujamaa ?
Natoa pole kwa wale wote waliopoteza mtu kule Westgate-Kenya, Mungu awarehemu na awasaidie Amin.
Namshukuru rais wangu, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuchukuwa uamuzi mzuri ya kukataa kupeleka majeshi yetu kule Somalia.
CC: Nape Nnauye
Shukrani
Mungu Ibariki Tanzania.
Links:
Cable: 07DARESSALAAM260_a
Cable: 07DARESSALAAM819_a
Cable: 07DARESSALAAM1119_a
Cable: 07DARESSALAAM93_a

Ambassador Retzer raised the topic of peacekeeping with President Kikwete, noting that an ACOTA team had recently visited Tanzania and that a strategic conference had been planned for October 2006. President Kikwete assured the Ambassador that the GOT was prepared to give peacekeeping due regard and said, "We need to play our part. Psychologically, we are positively disposed to participation." The Ambassador explained that Tanzania could have a fully trained battalion by mid-2007 but that the USG could equip the battalion only after the GOT decided where the battalion would be deployed. "It would be helpful for the strategy meeting in October if you could provide an indication of a potential location for deployment," the Ambassador added.
In addition, Kenya had sent a ministerial-level envoy to Tanzania just prior to President Kikwete's January 14 departure for an official visit to London with a direct appeal for Tanzania to contribute troops to an African Union-led Peace Support Operation (PSO) in Somalia
b) Tz answer:
President Kikwete replied in a joking manner that if he had to choose between a deployment in Darfur or Lebanon, he would surely choose Lebanon. He added, "for sure we will not choose Somalia," agreeing with Ambassador
Tanzania wants to be certain that the 1,000 officers they will train are not only from one or two clans in Somalia and thus strengthen the power of certain warlords