When Mandela consulted Mwl Nyerere

Tazama hapa Mwalimu JKN alivyokuwa anasaidia kupigania Uhuru wa Zimbabwe:

Wa South Africa hawajamuenzi Mwl Kama anavyostahiki

Mandela aligeuka Kuwa Kibaraka wa Mabeberu Muda mchache kabla ya kutolewa Gerezani
 
Wa South Africa hawajamuenzi Mwl Kama anavyostahiki

Mandela aligeuka Kuwa Kibaraka wa Mabeberu Muda mchache kabla ya kutolewa Gerezani
nini kilimfanya abadilike mwishoni wakati alipoteza zaidi ya miongo miwili lupango kwa kukataa ofa zao?. Kwenye kitabu chake anadai alikua tayari kufa kuliko kukubaliana na makaburu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alishakata tamaa ya kutoka Na nguvu ya ANC kumpigania ilianza kupungua ukilinganisha Na Miaka ya mwanzoni Na Pia alihisi Umri umeshamtupa Tena hivyo akaanza ku compromise Misimamo yake ya awali
 
Alishakata tamaa ya kutoka Na nguo ya ANC kumpigania ilianza kupungua ukilinganisha Na Miaka ya mwanzoni Na Pia alihisi Umri umeshamtupa Tena hivyo akaanza ku compromise Misimamo yake ya awali
Inawezekana, kwa sababu wengi hawakuunga mkono msimamo wake kuhusu makaburu. Hata mke wake, mama Winnie, alipingana sana na usoft wake dhidi ya makaburu, inakuaje uwe rafiki na mtu aliyekutesa miaka yote hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom