When did they buy the current stock and at what price!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

When did they buy the current stock and at what price!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BAK, Jan 1, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,412
  Likes Received: 81,452
  Trophy Points: 280
  Dealers stick to high prices

  2009-01-01 11:46:17
  By Angel Navuri

  Oil importers have ruled out the possibility of lowering pump prices for the time being, saying they bought the current stock at high price.

  The oil dealers, including British Petroleum (BP), Gulf Africa Petroleum Company (Gapco), Oilcom and ORYX, gave their stance on Tuesday, during separate interviews with `The Guardian` in Dar es Salaam.

  They were generally emphatic that the matter of oil prices as for now would be ``difficult to settle`` in spite of efforts being made by the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura), apparently because they were still clearing the old stock.

  ``At this moment, there is no way that we can cut down the price as the government wants or make local prices correspond to those of the global market.

  The consignment which we purchased at the time global prices were up is yet to be cleared,`` said ORYX Terminal Manager at Kurasini oil depot, George Kiiru.

  He said the nation was experiencing the high pump prices due to shortage of the commodity experienced over the past month, as oil shipments purchased recently were yet to arrive at Dar es Salaam port.

  Kiiru said they were still waiting for arrival of ships that would bring petroleum products bought at comparatively low prices.

  A survey carried out at various filling stations in Dar es Salaam over the last two days showed that there was a slight reduction in pump prices, just hours after the government directed Ewura to discuss pump prices with oil dealers.

  Prices on display were ranging between 1,450/- and 1,500/- per liter for petrol down from 1,700/- and diesel was being sold at 1,280/- per liter, down from 1, 350/-. The price of kerosene remained constant at 800/-.

  A Gapco official, who preferred anonymity, said oil-dealers could not operate under pressure from the government, especially when it came to setting up prices.

  He maintained that oil prices would always be determined by the market itself.

  An Oilcom official said under free market operation, oil dealers would set prices, depending on how much they had spent in importing the deliveries.

  ``If the prices are high out there, it is because the dealers are forced to charge more, depending on how much they spent in securing the commodity from the global market,`` said the official who didn`t want his name published in a newspaper.

  A BP official, speaking on condition of anonymity, said the government should not pressure oil dealers to cut down prices as it was aware of the real situation.

  ``I don`t understand why it is giving us a headache about slashing down the prices,`` he said.

  However, a cross section of Dar es Salaam residents blamed the government for failing to make a timely intervention on the issue.

  A city-based stationary operator, Zaituni Maalim, said even if it was a free market operation, there must be some way for the government to limit oil dealers from forming cartels and victimising consumers.

  ``The government is not serious. They keep ordering Ewura to settle the matter with the dealers, but that has proved to be useless.

  The government, in my opinion, has the last word on all affairs affecting its citizens,`` said Maalim.

  Another resident, Blandina Bobson, blamed the energy and water sector watch-dog Ewura for failing to regulate the oil industry and ``for general poor work performance.``

  ``The whole issue is just so abnormal. There is politics in it. If the government won`t be serious on the issue, it could be pushed into a bad corner,`` said Bobson.

  Ernest Lyimo and Mary Joseph shared the view that apart from the expenses that the dealers incurred, they were obliged to take into account the country`s interests because oil was a very sensitive issue due to the role it played in the national economy.

  However, a National Bank of Commerce (NBC) official, Joseph Kilanga, said oil dealers had a point because they normally charged depending on the cost they had purchased the goods.

  ``The tug of war between the government and dealers occurs because there is no way oil merchants can slash the charges simply because global market prices have dropped drastically,`` he said.

  SOURCE: Guardian
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,412
  Likes Received: 81,452
  Trophy Points: 280
  Ewura yaanza kung'ata
  Maulid Ahmed
  Daily News; Thursday,January 01, 2009 @20:00

  MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), sasa imepewa meno kuweza kuingilia bei ya mafuta nchini na imetangaza bei mpya zitakazoanza kutumika Jumatatu ijayo. Katika bei zilizotolewa na mamlaka hiyo zitakazoanza wiki ijayo petroli itauzwa kati ya Sh 1,166 na Sh 1,506; dizeli kati ya Sh 1,271 na 1,679 kutegemea na ubora wake wakati mafuta ya taa yatakuwa kati ya Sh 814 na 1,152.

  Bei ya petroli kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambayo ni ya chini zaidi itakuwa kati ya Sh 1,166 na 1,249 wakati Mkoa wa Kigoma na Wilaya ya Bukoba ambazo bei zake ni za juu ni kati ya Sh 1,423 na 1,506; dizeli kwa Dar es Salaam itakuwa kati ya Sh 1,366 na 1,403 na mafuta ya taa ni kati ya Sh 814 na 875. Akitangaza kupewa meno kwa mamlaka hiyo mbele ya waandishi wa habari jana, Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna


  Masebu alisema watakuwa wakitangaza bei hizo kila wiki na wauza mafuta wote watalazimika kuuza mafuta yao kwa kati ya bei elekezi na bei ya kikomo itakayotolewa na mamlaka hiyo. Alisema kwa atakayeuza mafuta zaidi ya bei ya kikomo iliyowekwa na Ewura, atatozwa faini ya si chini ya Sh milioni tatu au kunyang'anywa leseni ya biashara.

  Alisema Ewura imepata mamlaka ya kuingilia soko baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kupitisha kanuni juzi ambapo sasa zitawasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali.

  "Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wametuambia kanuni hizo zinaweza kuchukua hadi wiki mbili zichapishwe kwenye gazeti hilo, sasa sisi tutarekodi vituo vinavyouza bei zaidi ya tulizozitaja na baada ya kuchapishwa kanuni tutawapa adhabu," alisema Masebu.

  Kanuni ambazo Ewura imezipitisha kuiwezesha kuingilia bei ya soko la mafuta nchini ni pamoja na itakapoonekana ushindani haupo au umekiukwa kama hali ya sasa ilivyo; bei ya soko nchini ipo juu kwa zaidi ya asilimia 7.5 ya gharama halisi na kunapokuwapo na hali isiyo ya kawaida kama vita.

  Alitaja uamuzi mwingine uliopitishwa na Bodi ya Wakurugenzi mbali na njia ya kukokotolea bei hizo, pia vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuandika bei za mafuta inayouza kwa uwazi na maandishi yatakayoonekana kwa mbali, punguzo la bei na vivutio vya biashara au promosheni.

  Pia vituo vyote vinavyouza dizeli yenye ubora tofauti (500 ppm na 5,000 ppm) vinatakiwa kuonyesha mwenye visima na kuuza dizeli tofauti katika kisima kama ilivyoonyesha itachukuliwa kama ni uchakachuaji wa mafuta ambapo adhabu kali zitachukuliwa dhidi yao. Utekelezaji huo utaanza Januari 15, mwaka huu.

  Hata hivyo, Mkurugenzi huyo alisema tangu Julai mwaka jana walipoanza kuwafuatilia wauza mafuta, bei zimepungua na kutaja "petroli imepungua kwa asilimia 27; dizeli kwa asilimia 38 na mafuta ya taa yamepungua kwa asilimia 50."

  Bei ya mafuta nchini imeendelea kupanda licha ya bei katika soko la dunia kushuka hali ambayo Rais Jakaya Kikwete alimwagiza Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kufuatilia.

  Baada ya kuanza kufuatiliwa, wenye vituo vya mafuta walipandisha bei ghafla kwa madai kuna uhaba uliotokana na meli za mafuta kusubiriana ili kupita katika pwani ya Somalia kwa hofu ya kuvamiwa na maharamia. Hata hivyo, serikali ilipingana na sababu hiyo.
   
 3. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Itakuwa auheni kama hayo meno yakiweza kung'ata. Nadhani si fair kila sehemu duniani bei ya mafuta imeshuka sana ili hali ikiendelea kuwa juu Tanzania. Tusubiri tuone aina ya meno na kama magumu kiasi cha kuvunja mifupa hiyo ya oil dealers.
   
Loading...