Niliurudia mara mbilimbili pindi ulipokuwa unaisha mwimbo huu wa bibie celine dion, maana maudhui yake yanagusa maisha yetu ya kila siku hasa ya mapenzi,
Mara nyingi imetokea kwa baadhi ya watu tena ni wengi tu tukiwa katika mahusiano tunakuwa na vipaumbele vyetu, utakuta kama ni mwanamke anataka kuwa na mwanaume mwenye sifa flani flani na uwezo flani hapo yeye ndipo anakuwa anapata ile furaha katika mahusiano hayo, na kama ni mwanaume naye halikadhalika. Cha ajabu ni kuwa cku zote ukimtafuta wa zile sifa unazozitaka kumpata ni shida yaani unaweza ucmpate kabisa, hapo ndipo watu tunapojikuta tumeangukia katika mikono ya wale tunaowaita ni wrong persons katika maisha yetu ya kimapenzi.
Mara nyingi ktk experience yangu ya haya mambo, nimegundua kuwa wale tunaowaona kuwa wrong pple ktk maisha yetu ya mapenzi mara nyingi ndiyo wanaotupenda kikamilifu yaani 100% na ku2treat right kama ni mwanamke atamfanya mwanaume ajione kweli yeye ni mwanaume, na kama ni mwanaume basi atamtreat mkewe au mpenzi wake like a lady, labda hicho ndicho kilimfanya mwanama huyu kutoa tungo hii, na palel 2wapatapo wale wanaokuwa na vigezo tunavyovihitaji mambo huwa ni vibweka, vilio na majonzi kwa kwenda mbele. Sasa mimi najiuliza inakuwaje mambo haya, na kwanini maisha yaende namna hii? Ila hata magnetic theory inasema kuwa like poles repel while unlike poles attract each other, kumbe mwenye sifa uzitakazo mnafanana so hamvutiani, kuliko yule wewe unaemuana ni wrong choise kwako.
Baada ya mda mrefu ndipo jibu nililipata katika mwimbo huu wa celine dion, nae kasisitiza kabisa "cant stop, cant resist when a wrong one love me right"
Waungwana nimeendika haka kakipande ka ujumbe kushare nanyi kaujuzi kangu kaduchu ktk maisha ya mapenzi, nilichogundua ni kuwa kinachomatter ktk love ni kile unachopokea kukiko unachotoa, ndio maana mtu akipenda huweza kufanya lolote ili kumkeep mpenziye maana anaona thamani ya kile anachotoa ni ndogo kulingana na kile anachopokea, vivyo hivyo kama upo na mtu ambaye hana sifa ulizokuwa unazitaka lakini anakupenda na anajitahidi kwa kadri ya uwezo wake kukuonyesha kuwa anakupenda ndugu yangu ucmwache huyo jiachie, tarartibu utaiona thamani yako na ya utu wako, tusipimamne kwa zile sifa tunazojiwekea kwa mtu kuwa nawe bali perfomance ya mtu husika na uwajibikaji wake, jamani acheni mapenzi yaongoze njia yenu katika maisha ili mfurahi, Spice Girls waliimba hilo"Let Love Lead The way" ,
Jamani tukitafuta tunaowataka sisi ,Mungu atajidhirisha tu na atakupa anaye mtaka yeye uwe nae, maana yeye alipokushusha duniani ujuealikuwa tayari kashakuandalia wako, kazi ni kwako kumfahamu ni nani, tutambue pia kwamba sio vyote tuvipendavyo tunaweza kuwa navyo maishani, waswahili wanasema USIPOPATA ULIPOPENDA BASI SI HABA UKIPENDA ULIPOPATA
asanteni