When a wrong one loves you right

aise umenikusa sana na ndo jambo lilikuwa linanisyumbua kila siku kwanini mara nyingi unachokipenda hukipati au akikupendi kama unavokipenda lkn usichokipenda kimekufa kwako daah umenifungua akili sana...
 
Learn to live with the one who loves you so badly, utainjoy mahusiano throughout maana hatakua tayari ku give up kirahisi hata kipindi cha misukosuko ya maisha kikitokea
 
Back
Top Bottom