When a president becomes a thief ... .... .

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,682
8,233
aptanzaniaelection3nov2.jpg

There are those people, who thought that CCM will relinquish power on a platter, they were wrong. They never knew that CCM thugs are used to power and they will do anything possible under the sun to remain in power warning the Americans and British colonial masters not to interfere despite the opposition crying foul.

Never in the history of this country had the majority of people voted for the opposition in the country regarded as the haven of peace, time will tell what will happen next.

Jakaya Kikwete is in dilemma because he knows and the majority knew time is up for him and his party. He might not survive the full 5 year term as he has gone into the path where nobody dared to go. He will need all the support from his close friends whom he thinks will help him including his own son who wields a lot of power within the inner circle but ridiculed by scholars as a failure. The people of Tanzania spoke with their votes, now its time for action to those who can read between the lines. The damage has been done and a lot of Tanzanians will never trust this Government for a very very long time to come. The people will know that they're on their own and should do anything possible to survive and fight the foreign occupation in the name of EAC. The worth of this country is given just like tokens to those chosen by Jakaya Kikwete and his thugs, no wonder his campaign was feigned by his wife, cousins, chickens, cows and his children but not the party.

What will happen next is anybody's guess, but people aren't stupid and time will tell who the real winners are.
 
Hizi ndio fikra za watu wasioheshimu kura.

Tumeweka utaratibu.

Tumesshiriki.

Tumemaliza.

Tunakataa.

Tungeshinda tusingetoa shutuma.

Hata usalama wametutanabahisha kuwa chadema wanapenda kutumia uongo kwa propaganda
 
I think we need to make a research on these. wahenga husema pafukapo moshi .........
 
people aren't stupid and time will tell who the real winners are.:A S-cry: nina hasira nao kichiz
 
Hizi ndio fikra za watu wasioheshimu kura.

Tumeweka utaratibu.

Tumesshiriki.

Tumemaliza.

Tunakataa.

Tungeshinda tusingetoa shutuma.

Hata usalama wametutanabahisha kuwa chadema wanapenda kutumia uongo kwa propaganda
I hope you are talking for the people whose votes were stolen. Every word is true except for the last sentence. They are the state apparatus of power and they collaborated 100% in the rip off. Period. This is an undisputed fact and it will remain so forever because it is the truth regardless of what spin doctors say.
 
Naongelea utaratibu wa huru na haki tulioweka na tulioufuata.

1. Mawakala wameshiriki.

2. Wagombea wameshiriki

3. Observers wameshiri

ripoti ya observers inasema uchaguzi ni huru na haki

sasa huo wizi unatokea wapi kama sio kuzua yasiyokuwepo?

Dr slaa alianza kuonyesha dalili za uchochezi tanguu alipokuwa kwenye kampeni, alipoleta msamiati wa kuchakachua. Hapajachakachuliwa kitu; ccm ingeamua kuchakachua isingeachi majiji ya mwanza na arusha. Jamani, tuheshimu uamuzi wa watanzania.
 
"ripoti ya observers inasema uchaguzi ni huru na haki" Umesoma kweli report zao au unaandika tu? Jamani tusiwe vipofu kiasi hiki! Kuweni wazalendo msishabikie vyama ili mradi tu! Naomba usome report za waangalizi wote tena sio vichwa vya habari soma content!
 
ANZA NA HII COMPREHENSIVE YA SADC KWENYE LINK HAPO CHINI

allAfrica.com: Tanzania: SADC Electoral Observer Mission Report on Elections (Page 1 of 3)

USHABIKI HAUPO HAPA, TUNAENDA KWA HOJA NA DATA.

AU NA OBSERVERS REPORTS ZITACHAKACHULIWA?

Bora watu wakae :tape: kuliko kubaka demokrasia yetu.

Tanzania ni Nchi ya mfano, na mafanikio yetu ni IMARA; ila kuna watu wachache ambao hawaridhiki na mafanikio hayo. Watu hao ndio walioharibu mali pamoja na kuingilia zoezi la kkuhesabu kura kwa fujo zisizo maana.

We should learn to RESPECT VOTERS DECISION.

Dr SLAA alifanya kubembelezwa na wana CHADEMA kugombea, kwa kuwa alikuwa anajuwa fika kuwa hatoshinda URAIS.

Ila Upinzani umeimarika 2010, na hilo ni jambo zuri.

Pirates of caribean...
 
aptanzaniaelection3nov2.jpg

There are those people, who thought that CCM will relinquish power on a platter, they were wrong. They never knew that CCM thugs are used to power and they will do anything possible under the sun to remain in power warning the Americans and British colonial masters not to interfere despite the opposition crying foul.

Never in the history of this country had the majority of people voted for the opposition in the country regarded as the haven of peace, time will tell what will happen next.

Jakaya Kikwete is in dilemma because he knows and the majority knew time is up for him and his party. He might not survive the full 5 year term as he has gone into the path where nobody dared to go. He will need all the support from his close friends whom he thinks will help him including his own son who wields a lot of power within the inner circle but ridiculed by scholars as a failure. The people of Tanzania spoke with their votes, now its time for action to those who can read between the lines. The damage has been done and a lot of Tanzanians will never trust this Government for a very very long time to come. The people will know that they're on their own and should do anything possible to survive and fight the foreign occupation in the name of EAC. The worth of this country is given just like tokens to those chosen by Jakaya Kikwete and his thugs, no wonder his campaign was feigned by his wife, cousins, chickens, cows and his children but not the party.

What will happen next is anybody's guess, but people aren't stupid and time will tell who the real winners are.

A mere Nonsense!
 
Hizi ndio fikra za watu wasioheshimu kura.

Tumeweka utaratibu.

Tumesshiriki.

Tumemaliza.

Tunakataa.

Tungeshinda tusingetoa shutuma.

Hata usalama wametutanabahisha kuwa chadema wanapenda kutumia uongo kwa propaganda

Makame,
kwa nini uko nyuma ya uovu kwa kuutetea? ama wewe ni mmoja wa wadhalimu?
hiyo kataa kubari lakini ukweli ni huo kwamba cCm wameyabaka matokeo ya uraisi na ubunge
 
Naongelea utaratibu wa huru na haki tulioweka na tulioufuata.

1. Mawakala wameshiriki.

2. Wagombea wameshiriki

3. Observers wameshiri

ripoti ya observers inasema uchaguzi ni huru na haki

sasa huo wizi unatokea wapi kama sio kuzua yasiyokuwepo?

Dr slaa alianza kuonyesha dalili za uchochezi tanguu alipokuwa kwenye kampeni, alipoleta msamiati wa kuchakachua. Hapajachakachuliwa kitu; ccm ingeamua kuchakachua isingeachi majiji ya mwanza na arusha. Jamani, tuheshimu uamuzi wa watanzania.

Are you sure of what your talking guy?
 
ANZA NA HII COMPREHENSIVE YA SADC KWENYE LINK HAPO CHINI

allAfrica.com: Tanzania: SADC Electoral Observer Mission Report on Elections (Page 1 of 3)

USHABIKI HAUPO HAPA, TUNAENDA KWA HOJA NA DATA.

AU NA OBSERVERS REPORTS ZITACHAKACHULIWA?

Bora watu wakae :tape: kuliko kubaka demokrasia yetu.

Tanzania ni Nchi ya mfano, na mafanikio yetu ni IMARA; ila kuna watu wachache ambao hawaridhiki na mafanikio hayo. Watu hao ndio walioharibu mali pamoja na kuingilia zoezi la kkuhesabu kura kwa fujo zisizo maana.

We should learn to RESPECT VOTERS DECISION.

Dr SLAA alifanya kubembelezwa na wana CHADEMA kugombea, kwa kuwa alikuwa anajuwa fika kuwa hatoshinda URAIS.

Ila Upinzani umeimarika 2010, na hilo ni jambo zuri.
Crap. Maana hata wakati wa zimbabwe hawa hawa waangalizi wa SADC walikuwa na maoni kama haya haya. Hii ndio Afrka bwana! kila kitu kwao ni sawa. Wameshindwa kuangalia hadi utangazaji wa kura eti tayari ripoti imetoka. What a mess?
 
ANZA NA HII COMPREHENSIVE YA SADC KWENYE LINK HAPO CHINI

allAfrica.com: Tanzania: SADC Electoral Observer Mission Report on Elections (Page 1 of 3)

USHABIKI HAUPO HAPA, TUNAENDA KWA HOJA NA DATA.

AU NA OBSERVERS REPORTS ZITACHAKACHULIWA?

Bora watu wakae :tape: kuliko kubaka demokrasia yetu.

Tanzania ni Nchi ya mfano, na mafanikio yetu ni IMARA; ila kuna watu wachache ambao hawaridhiki na mafanikio hayo. Watu hao ndio walioharibu mali pamoja na kuingilia zoezi la kkuhesabu kura kwa fujo zisizo maana.

We should learn to RESPECT VOTERS DECISION.

Dr SLAA alifanya kubembelezwa na wana CHADEMA kugombea, kwa kuwa alikuwa anajuwa fika kuwa hatoshinda URAIS.

Ila Upinzani umeimarika 2010, na hilo ni jambo zuri.

SADC ni walewale wezi wa kura. Soma ripoti ya waangalizi toka EU uone walichosema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom