Wheelchairs Tanzania?

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Naomba kuuliza kama kuna yeyote anafahamu kampuni inayotengeneza wheelchairs, vifaa vya kutembelea kwa wazee, walemavu Tanzania? Kama hakuna, ni kampuni/shirika lipi ambalo linaweza kufanya hivyo?
 
Kama unaitaji kununua nenda pale changimbe kabla ujafika darajani kunja kushto nenda mojakwamoja utaona maduka ya dawa na vifaa vya umeme else ukiwa mjini ni pm ntakuelekeza
 
mkuu unaweza kwenda pale changombe kuna kampuni inaitwa palray
 
Msaada pls mwenye kujua bei ya wheel chairs. Tunahitaji kwa ajili ya kuwasaidia wenye changamoto za ulemavu. Asante kwa msaada.
 
Back
Top Bottom