Wheather forecast in saudi arabia...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
:confused:Hizi ajira nyingine bana....

......hapa sijui wadau mnampata uzuri akielekeza maeneo yenye "miinuko" yatakayokuwa na mawingu, mvua za mtawanyiko wa wastani na ngurumu kiasi???...

attachment.php
 
Attachments

  • muslim-woman.jpg
    muslim-woman.jpg
    32.3 KB · Views: 1,312
Duh! hii kali. Hata joto la Bongo mtu unakuta yuko gubigubi na kitu cheusi! Imani ua ndo kumanuliwa huko?
 
huu ni wehu! basi asinge kaa mbele ya kamera, anafanya nini sasa hapo? dar mkubwa in elekea unawasaka kwelikweli hawa, nakumbuka ulituletea ya wale waliopiga picha ya pamoja. maendeleo wanayataka, na mawazo mgndo hawataki kuyaacha. :confused:
 
:confused:Hizi ajira nyingine bana....

......hapa sijui wadau mnampata uzuri akielekeza maeneo yenye "miinuko" yatakayokuwa na mawingu, mvua za mtawanyiko wa wastani na ngurumu kiasi???...

attachment.php

Ngoshwe,tusen takk.Er du i Norge?
 
:confused:Hizi ajira nyingine bana....

......hapa sijui wadau mnampata uzuri akielekeza maeneo yenye "miinuko" yatakayokuwa na mawingu, mvua za mtawanyiko wa wastani na ngurumu kiasi???...

attachment.php

Hiki nini??:confused:
 
Hey NO PUN intended.

Hivi kuna mtu ashawai waona hao maninja wakizikiri? Unaeza ukaota usiku yaani..aarghh inatisha.
 
the first picture is a joke... come on guys dont tell me u believe that... actually it is the guy on the picture not a woman...
 
:confused:Hizi ajira nyingine bana....

......hapa sijui wadau mnampata uzuri akielekeza maeneo yenye "miinuko" yatakayokuwa na mawingu, mvua za mtawanyiko wa wastani na ngurumu kiasi???...

attachment.php

At least ungesema Afghanistan!!!??? maana hii ni "burqa" sio "hijab na nikaab" kama wanawake wa Saudi wanavyovaa. Au ndio cut and paste ili kutengeneza uongo tu dhidi ya waislmau kwa ujumla au wanawake waislamu in particular???
 
Back
Top Bottom