WhatsApp will stop working on loads of old phones in November 2021

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,760
35,205
2021 is about to end in the next three months and that means there is another cycle of WhatsApp ending support for some Android smartphones and iPhones.

WhatsApp has shared a list of devices that will no longer support the WhatsApp messaging app starting November 1, 2021.

In general, these will be Android phones that are running on Android 4.0.3 or lower, and Apple iPhones that are running on iOS 9 or older. If you are using an old Android 4.0.3 or an iPhone then you may have to worry about Whatsapp support



Huku tozo kule simu. Acha kazi iendelee
 
Hivi iphone 6 inakwenda hadi iOs ipi?

Visista duu vya mjini itakuaje sasa?

Mostly hao wanakuwaga na X kwenda juu wachache wana 7 ambayo ina support software updates nahis hawatopata shida
 
Hivi iphone 6 inakwenda hadi iOs ipi?

Visista duu vya mjini itakuaje sasa?

iphone 6 imeishia 12.5.5

ban ya mwisho kutotumia whatsapp imeishia ios 8,do the math.

hawezi ruka generation nne zote,hapo wakijitahidi sana wataishia ios 10,so iphone 5,5c watakuwa wahanga 6 bado ina pumzi.
 
Whatsapp ni chanzo cha simu za Blackberry OS, Windows mobile/Lumia na Asha za Nokia kufariki msiba baada ya kusitisha huduma kwenye izo simu/OS. Ila tatizo nijamaa kila mara wanaimarisha mifumo yao na hivyo vifaa vya zamani na vinavyotumiwa na watu wachache inakua shida kumaintain.
 
iphone 6 imeishia 12.5.5

ban ya mwisho kutotumia whatsapp imeishia ios 8,do the math.

hawezi ruka generation nne zote,hapo wakijitahidi sana wataishia ios 10,so iphone 5,5c watakuwa wahanga 6 bado ina pumzi
hapana

iphone 5 itaendelea kutumia whatsapp kwa sababu inaweza ku upgrade mpaka iOS 12.

Simu itakayokuwa affected kwa upande wa apple ni zenye iOS 9 kwenda chini, ambazo ni iphone 4S kwenda chini, kwa sababu 4S mwisho wake wa ku upgrade in iOS 9

kwa hiyo iphone 5 kwenda juu zote zitaendelea kuwa ziko vizuri kwa whatsapp

 
Back
Top Bottom