WhatsApp na Telegram ipi App bora kutumia?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
WhatsApp na Telegram sio majina mageni katika ulimwengu wa teknolojia japo WhatsApp alianza kuiona dunia ila dogo telegram naye ayuko nyuma.

WhatsApp na Telegram ni moja kati ya app bora ambazo jamii uweza kuzitumia kushare vitu mbalimbali kama vile picha , video , document na nk.

lakini WhatsApp ilianza kutumika mwaka 2009 wakati telegram ilianza kutumika mwaka 2013 ila leo nitawaambia hipi App Bora kuweza kuzitumia kati ya hizo mbili telegram na WhatsApp.

Unlimited server storage
telegram wanatoa unlimited storage ya kuhifadhi vitu vyako kwenye cloud server yao.unawezq ku log na ku log out kwenye kifaa chochote kile bila kupoteza data zako wala huitaji kufanya back up

ila kwenye WhatsApp mpaka mda wote ufanye backup la sivyo data zako zinapotea

username feature
unaweza kuwasiliana na mtu yeyote telegram bila kuwa na namba yake cha muhimu kujua username yake tu kha Facebook unahaja ya kusave namba ya mtu ili kuchart naye.

kwenye WhatsApp lazima u save namba ya mtu ndo umuone na kuanza kuchart usipokua na namba yake ume failure wakulungwa wanajua.

Group member number capacity

kwa sasa telegram huweza kuchukua watu ns kufikia 200,000 members hivyo inaifanya kuchukua idadi kubwa ya watu kwa wakati mmoja.

WhatsApp wameweka limit ya members ambao ni 256 tu hivyo laxima atoke mtu aingie mtu

Channel na secret chart
unaweza kutengenezq channel kama ile group members with unlimited members pia mtu aliyetengeneza anaweza kuchagua member wangap waweze kuchangia mada wengine wawe wasikilizaji tu

pia kwenye suala la secret chart
hii inampa mtu wakati mgumu wa kudukua taarifa zako ukiweka mfumo wa secret chart baadae ujumbe uweza kujifuta automatically baada ya muda kadhaa hivyo ni ngumu kudukuliwa taarifa zako.

WhatsApp mtu kudukuliwa taarifa ni rahisi sana pia japo kuwa wana end to end encryption ila watu huweza kuchukua taarifa za watu kirahisi kuliko telegram

Send anykind files
mtumiaji wa telegram anaweza kutumia file za ukubwa wa aina yoyote huku kwenye WhatsApp mtu anapewa limit ya kuweza kutuma video pic , au document kwa mtu au kikundi cha watu.

Multiple session
unaweza kutumia telegram katika vifaa viwili kwa wakati mmoja yani unaweza kutumia kwenye simu hapo hapo uka log kwenye simu nyingine au hata kifaa chingine ila
WhatsApp huwezi kutumia multiple session lazima sehemu moja u log out .

We unafikiri kati ya telegram na WhatsApp hipi ni App bora umeshawahi kutumia na kwanini hiyo unayotumia ni bora kuliko mwenzie tuachie maono yako sasa. ..??

kwangu mimi Telegram ni bora sna ukitumia japo kuwa WhatsApp inawatumiaji wengi ila telegram is the best.

Kwa maujanja kuhusu simu kompyuta apps games software pamoja matatizo na suluhisho zake usisahau kutembelea psgw yetu ya Instagram
Sesrch bongotech255
 
pia kwenye suala la secret chart
hii inampa mtu wakati mgumu wa kudukua taarifa zako ukiweka mfumo wa secret chart baadae ujumbe uweza kujifuta automatically baada ya muda kadhaa hivyo ni ngumu kudukuliwa taarifa zako
emoji4.png
.
Wale Makamba wawili, na ile team ya Mtama hawakuijua hii mbinu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom