WhatsApp imetoa App mpya kwa watumiaji wote wa Windows

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
9,694
2,000
9138892536019085d74862295cbfa245.png

WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows.

Kwa sababu inatumia mfumo mpya, Inafunguka faster sana (chini ya sekunde 2); ina maboresho ya sehemu mpya ya kuchora picture, kuweka texts, na emoji kabla ya kutuma (kama ilivyo katika simu). Tayari inapatikana katika Store ya Windows.
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
3,146

Ngoja ni download hii updated make niliyonayo ni hovyo sana.. Mpaka unaweza hisi RAM ya mashine ime jam.
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
3,146
2,000

WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows.

Kwa sababu inatumia mfumo mpya, Inafunguka faster sana (chini ya sekunde 2); ina maboresho ya sehemu mpya ya kuchora picture, kuweka texts, na emoji kabla ya kutuma (kama ilivyo katika simu). Tayari inapatikana katika Store ya Windows.
Mbona nmetest naona hakuna tofauti, au wametoa kama beta kwa utaratibu maalumu kwanza?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom