Hili tatizo la WhatsApp, Facebook na Instagram kushut down kwa Mda wa lisaa hadi sasa litawahathiri sana wafanyabiashara wa Online

Hadi sasa haijafahamika tatizo aswaa la mitandao hiyo kuzimwa duniani kote ni nini

Kuna watu wamereset hadi simu wakijua maybe ni Network au cm imearibika ila laaa hashaa Apps zote zimeshut down

Wale wategemea hizi apps kufanya Biashara zao au kutangaza kazi zao basi litawahathiri kwa mda

Hii inatukumbusha kwamba tusitegemee mitandao tu mda wowote inaweza kuzimwa na ukabaki huna cha kufanya kwenye biashara yako

Ebu jiulize wakishutdown mwezi mzima hizi apps hali ya maisha na kiuchumi itakuwaje kwa wale wategemea mitandao hiyo kutangaza biashara zao na kujitangaza kupitia mitandao hiyo


Update Facebook, WhatsApp and Instagram wamecomfirm kwamba mitandao imeshut down kwa mda kutokana na Matengenezo na kuboresha apps hizo ndani mda mfupi kuanzia sasa zinarudi
tupo telegram kwa raha zetu
 
Hapana ni dunia nzima hata hapa Russian Whatsap, Instagram na FB ziko down

3E261CF2-C9CE-4713-85E4-01E9FAADEC08.png


FBE71557-80FD-426C-9A15-5D5C09B408E4.png
 
Back
Top Bottom