Whatsapp ,facebook, insta, messenger zote zimezima mda huu

Mbona Mimi inakubali vizuri tu, au kwakuwa natumia Opera Min
 
Inakuaje S 10 inatumia Oreo? Me nachofahamu flagship za Samsung mwaka huu zinatumia Android Pie.

Sent using Samsung Galaxy
Mkuu sio hii ninayo tumia sasa ipo tu ndani, lakini kuhusu oreo unaweza tu ukaiweka na ikakaa, jamaa yangu mbona nikitu simple tu kama huamini jaribu kuchukua yakwako kama unayo alafu nenda google.

Andiki model namba mfano,

Samsung galaxy note 10.1 oreo 8.0 plus xda.
Downlod na unaweza kuflash tuu bila hata kutumia coputer na inakaa vizuri tu mkuu.

sumsung galaxy s10 oreo 8.0
 
Sawa Mkuu

Sent using Samsung Galaxy
 
Back
Top Bottom