Kwanini?Kuna baadhi ya simu za samsung watsap hazitaki kabisa
sumsung galaxy s10 oreo 8.0
Inakuaje S 10 inatumia Oreo? Me nachofahamu flagship za Samsung mwaka huu zinatumia Android Pie.Sijajuwa kunatatizo gani hata kama uta pakua kutoka play store ukijiunga tu inakataa
sumsung galaxy s10 oreo 8.0
Mkuu sio hii ninayo tumia sasa ipo tu ndani, lakini kuhusu oreo unaweza tu ukaiweka na ikakaa, jamaa yangu mbona nikitu simple tu kama huamini jaribu kuchukua yakwako kama unayo alafu nenda google.Inakuaje S 10 inatumia Oreo? Me nachofahamu flagship za Samsung mwaka huu zinatumia Android Pie.
Sent using Samsung Galaxy
Heeee h kweli aisee
Mti wenye matunda.
Sawa MkuuMkuu sio hii ninayo tumia sasa ipo tu ndani, lakini kuhusu oreo unaweza tu ukaiweka na ikakaa, jamaa yangu mbona nikitu simple tu kama huamini jaribu kuchukua yakwako kama unayo alafu nenda google.
Andiki model namba mfano,
Samsung galaxy note 10.1 oreo 8.0 plus xda.
Downlod na unaweza kuflash tuu bila hata kutumia coputer na inakaa vizuri tu mkuu.
sumsung galaxy s10 oreo 8.0
Powa mkuuSawa Mkuu
Sent using Samsung Galaxy
Mambo ya ddos attack nini
I have also sentSent using Jamii Forums mobile app