What's your favorite movie line/quote?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Salaam wakuu,

Habari za furahi day?

Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs.

Huwa unakuta kwenye movie kuna punchline matata ambayo inakupa msisimko wa kutamani kujua actions zinazofata.

Personally ziko quotes nyingi tu, ila hii "l don't think you understand, these boys killed my dog" Nilijua kinachoenda kutokea itakua ni hatari... hebu tupia na zako
 
quotesLeft.gif
The only limit is your imagination
quotesRight.gif

Where the Trail Ends
(2012)
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom