What's your favorite movie line/quote?

Wale wa supernatural,Sam na Dean leo kina happen series finale
 

Attachments

  • 662c4ca6cc3d2bade5065108fc807502.jpg
    662c4ca6cc3d2bade5065108fc807502.jpg
    17.9 KB · Views: 11
  • images.jpeg.jpg
    images.jpeg.jpg
    32.6 KB · Views: 12
Nakumbuka alisema if you want to shoot Shoot don’t talk akampa kitu mshikaji

Hapana Mkuu hakusema hivyo bali alitumia neno “When you have to shoot
Huyu jamaa namkubali sana na ana maneno hadi unarudia kumsikiliza
I watch this movie for the first time in 1979
 
"You're all the colors in one, at full brightness." Kwenye All the bright places
IMG_20201025_113950_1.jpg
 
Salaam wakuu,

Habari za furahi day?

Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs.

Huwa unakuta kwenye movie kuna punchline matata ambayo inakupa msisimko wa kutamani kujua actions zinazofata.

Personally ziko quotes nyingi tu, ila hii "l don't think you understand, these boys killed my dog" Nilijua kinachoenda kutokea itakua ni hatari... hebu tupia na zako
martini.....shaken not stirred
name's james......james Bond

#007
 
Kowalski: fortune are mere superstitions
King julien; yeth this stition are super that's why you must listen them
King julien anafurahisha sana huyu jamaa
Kuna nyingine alikuwa anaongea na twiga
Twiga (mehmad); theres something I wanna tell u
King julien akadakia ;what is it?
Mehmad akaanza kumpanga yy kakazania what is it? Mwisho akamwambia fine if you don't wanna tell me akashtuka ohh it romance akaanza kumpa maneno mehmad mwisho akamwambia tell her how much you hate her aahahaah badala ya how much you love her ahahaah king julien ni anatisha
 
Nimesahau jina la movie (Naomba msaada wa kuikumbuka) ni series: Ila episode ya mwisho kuna mzee anasema hivi:

"The World today is not what it was one week ago, neither will it be one week from now or one month from now. Now that our greatest enemy slipped though our hands......" Sikumbuki the rest of the script

Someone help me identify this series...
 
Back
Top Bottom