princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,545
- 14,358
Ward bring ya ass over here
[HASHTAG]#Iron[/HASHTAG] Fist
[HASHTAG]#Iron[/HASHTAG] Fist
Yes naona umeripresent id yako mkuuI will make him an offer he can't refuse_Dingi
Its not personal,it is strictly business, Kaka Michael
Hahaha inaelekea ulicheka sana juzi"can't you wait for a second i can finish this" gorgio
Hahah inaonekana ulicheka sana juzi"can't you wait for a second i can finish this" gorgio
Yaani we acha tu. Nilicheka mpaka machozi yalinitokaHahaha inaelekea ulicheka sana juzi
Hahah hiyo hadi juzi Omar chinja² kwenye the last ship alisema shit kwa kiarabu, ngoma ikaenda kabooom...."ohh shit..." hii kwenye muvi nyingi tu pale unakuta mtu ameingia tu sehemu kumbe kuna bomu ndo linataka kulipuka..
Hahaha, sasa angalia muvi ya killing gunther kuna.chizi anaitwa donnie humo ni shida. Yaan tabia zake kama yule chalii mfupi kwenye the hangoverYaani we acha tu. Nilicheka mpaka machozi yalinitoka
"I will Find you and I will Kill you" Liam Neeson Taken
Mzee aliongea kwa Hisia sanaHahaaa.. Goodluck
Huyu mzee movie zake zote ni heshima. Sema ndio ivyo anazeekaMzee aliongea kwa Hisia sana
Sasa hivi sitaki kuongeza series tena,maana zile zangu zinarudi misimu mipya . Yaani sitaki kuanza zingine,nina a lot of seriesHahaha, sasa angalia muvi ya killing gunther kuna.chizi anaitwa donnie humo ni shida. Yaan tabia zake kama yule chalii mfupi kwenye the hangover