What's wrong with Y'all women???

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Hello salam wakuu,
Habari za jioni. Ok, no need to get pissed off dada zangu, ila let's be honest mnakera katika tasnia nzima ya shopping. Juzi nilimsindikiza mdada flani hivi kwenda shopping, mbona nilijuta? Yaani mara kashika hiki, karudisha kashika kile kaacha mara kakupa hiki umshikie pembeni ilimradi karaha tupu. Tofauti na sisi wanaume, kama nimepanga kwenda kununua kitu flani eg. Jeans, nikifika hata sishoneshi nachagua jeans fasta nalipa naondoka zangu tofauti na kina dada who can take even 3-4hours kufanya selection tu af at the end of the day unakuta hata vile vingi alivyochagua ameishia kununua vitu vingine kabisaa. If u have hours to kill then you might just enjoy it kuangalia wanavohangaika kuchagua vitu lakini mzee if you have other plans, ni mara kumi ya foleni ya ubungo jinsi utavyochelewa.
N.B got love for y'all dada zangu wala msiniweke kitimoto its just food for thought as am heading to QC.
Jioni njema wakuu!
 
Hahahaha ndio ukome:p:p:p:p....
Tena mie nkichagua vitu handbag pia naiona nzito namwambia anishikie...;);););)
 
ukienda na mie ndo utaweza kulia kabisa mkononi nina elfu 20 lakini naweza kutumia masaa 4 kununua kitu kimoja tu
 
Tatizo ukiingia dukan female stuffs zinavutia haziboi kuangalia..mie kama sina haraka nakagua weeee naangalia all new trends nafurahisha macho mpaka bas...hivi kumbe huwa mnanuna???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom