What's the story: Ulipataje kazi unayofanya au uliyowahi kufanya?

Tulipomaliza chuo ilipita miezi 3, nikapata simu kutoka shirika moja kwamba unatakiwa kutuma barua ya maombi ya kazi, tumepata jina lako kutoka kwa Dean of faculty. Kumbe tulikua wanafunzi kama 15 hivi, hadi sasa watu bado wapo makazini.
Itabidi nyie 15 muungane mjifhange mumnunulie huyo dean hata ka passo akikaendesha tu anawakumbuka
 
Yaani umenena mkuu siku hizi hata ukisema unajitolea hawataki, sasa sijui wanaogopa gharama za kukununulia kiti na meza, au nini, ila huwa natamani serikali ingelazimisha kila kampuni na shirika lililosajiliwa kuchukua graduates kwaajili ya internships za mwaka mmoja mmoja.
Bongo mpaka kujitolea kwa gharama zako watu bado wanabana.Ila siku zote usichoke kuhangaika naamini mungu anakuona mateso yako.
 
Yaani umenena mkuu siku hizi hata ukisema unajitolea hawataki, sasa sijui wanaogopa gharama za kukununulia kiti na meza, au nini, ila huwa natamani serikali ingelazimisha kila kampuni na shirika lililosajiliwa kuchukua graduates kwaajili ya internships za mwaka mmoja mmoja.
We acha kuna mwanangu ana CCNA na degree ya Telcom kahangaika kutafuta internship amabayo atajigharamia haitaji posho wala mshahara,katafuta wee mpaka basi ,hivi sasa anashika chaki anakata pindi maisha yanaendelea.Sometimes mpaka unajiuliza undugulization au hawajiamini na nafasi zao yaani sijui.
 
Naomba kujua aliomba wapi akanyimwa
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Duuh, huyo jamaa kamaliza mwaka gani
2013 alikuwa kwenye minara ila huko kidogo ajira zake ,hazieleweki kwan project ikiisha kazi hamna na 2015 akachange kuingia ktk Networking mpaka kufanikiwa kuchukua CCNA ,mzuri upande wa Cisco na Huawei.Tatizo lake yy hajawai ,kuexperience real network environment,zaidi ya kufanya configuration na troubleshoot ktk software na ndio maana alihangaika kutafuta Internship lkn hakupata. .
 
Mi naamini huyu mwamba akifatilia Utumishi vizuri anatoboa mwaka 2020 hafiki kama kweli ulichokiongea jamaa anacho.
 
Wadau vipi kazi hampati tena ? Natamani kujua story zenu mlipataje kazi ili nawengine tujifunze mawili matatu, ya kuapply tuyatumie yakuepuka tuyaepuke vile vile!
 
Mimi haikua rahisi hata kidogo. Namaliza chuo sina referee wala godfather.
Nilihastle mbaya eeh Mungu nisamehe. Loga sana saa nyingine nakalia kiti ya ofisi natafakari nakumbuka afu nabakia kucheka tu.
Life is not with heartless people. Risk it all to achieve your goal.
If succession is your goal then winning is not your option.
Sorry usifuate kama imani yako hair unusu.
 
Nilitumiwa message na recruitment agency kupitia linked in, nikafanya interview ya kwanza kwao, ya pili nikafanya kwa client wao na namshukuru niliipata ingawa baadae nilikuja kuacha kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.
Siku ya interview ya pili mwishoni niliambiwa " of all the candidates we have interviewed, you have shown a great character and being very honest Thank you...! Hii statement ilinifanya nihisi nimekosa kazi ila mungu si athumani niliipata japo haikuwa riziki.
Mkuu sorry uliwatumia recruitment agency gani kupata kazi?
 
Mimi haikua rahisi hata kidogo. Namaliza chuo sina referee wala godfather.
Nilihastle mbaya eeh Mungu nisamehe. Loga sana saa nyingine nakalia kiti ya ofisi natafakari nakumbuka afu nabakia kucheka tu.
Life is not with heartless people. Risk it all to achieve your goal.
If succession is your goal then winning is not your option.
Sorry usifuate kama imani yako hair unusu.
Ko mwanangu ulitoboa kwa kuroga🤔 funguka tu boss...
 
Back
Top Bottom