Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,248
- 34,197
Thanks alot!Hongera muhandisi
Hata dimond ili iwe na thaman lazima ipitishwe kwenye moto...
Sometimes Tunapitia msoto kama somo kwamba kwenye maisha kuna siku utakua huna pesa huna furaha huna marafiki...
Na hata mtu akikwambia ana shida utamuelewa maana u had been there!!
Thats life!!