What's in a Name?

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,356
A psychiatrist was conducting a group therapy session with four young mothers and their small children... "You all have obsessions," he observed.

To the first mother, Mary, he said, "You are obsessed with eating. You've even named your daughter Candy."

He turned to the second Mom, Ann: "Your obsession is with money. Again, it manifests itself in your child's name, Penny."

He turns to the third Mom, Joyce: "Your obsession is alcohol. This too manifests itself in your child's name, Brandy."

At this point, the fourth mother, Kathy, gets up, takes her little boy by the hand and whispers. "Come on, Dick, we're leaving
 
Afu we mtoto mtundu eh? Umeenda kupekua kwenye sanduku la babu? Ukipata mimba isiyotarajiwa utamwambia nini Rejao?
babu uliwakosea nini hawa watu hata tablet mwenzako nimekuta hvohvo tena yeye toka 2006
 
Wakati huo kulikuwa na kampeni ya kupiga vita madawa ya kisasa! Sheikh Yahya bana, khaa!
 
kumbe ulikuwa hukubaliki eeh tablet kloro na mshairi wake mtamuu ila watu hola bwana sijui yupo wapi loh
 
ahaa yule jamaa alisema anataka baamedi sasa jf kuna baamedi jamani
Umejuaje kama hawapo? Mbona mimi meneja wa bar nipo huku? Unataka kazi? Ni-PM. Interview nakufanyia mwenyewe.
 
nani awe anashikwa shikwa kingo za rift valley ovyo na kumendea michemsho ya watu not mi grandparejao kanikabidhi master card niko vizuri
 
Kushikwa si ndio kwenyewe? ulitaka ubakwe? na kule jukwaa la wakubwa ulienda kufanya nini?
 
......
At this point, the fourth mother, Kathy, gets up, takes her little boy by the hand and whispers. "Come on, Dick, we're leaving
Halafu unaweza kuta jina la ukoo wa huyo mtoto ni "Head"!
 
A psychiatrist was conducting a group therapy session with four young mothers and their small children... "You all have obsessions," he observed.

To the first mother, Mary, he said, "You are obsessed with eating. You've even named your daughter Candy."

He turned to the second Mom, Ann: "Your obsession is with money. Again, it manifests itself in your child's name, Penny."

He turns to the third Mom, Joyce: "Your obsession is alcohol. This too manifests itself in your child's name, Brandy."

At this point, the fourth mother, Kathy, gets up, takes her little boy by the hand and whispers. "Come on, Dick, we're leaving

mkuu hii nimeikubali
 
nani awe anashikwa shikwa kingo za rift valley ovyo na kumendea michemsho ya watu not mi grandparejao kanikabidhi master card niko vizuri
aisee hiv huyu babu anakuona wa wawasiwasi sana mpaka akupe kazi zake za ajabu ajabu? hajui kuwa nimekuachia VISA, MasterCard, cheque book yangu na authority ya kuaccess account zangu zote za offshore banks
 
Back
Top Bottom