Jamani hebu tuelezeni mbona hatujui kinachoendelea baada ya Sofia Simba kuzidiwa? NAni anaweza kuwasiliana na hospitali?
mmmh mwaka huu kazi Ipo sisi yetu ni masikio tu!!!Jamani hebu tuelezeni mbona hatujui kinachoendelea baada ya Sofia Simba kuzidiwa? NAni anaweza kuwasiliana na hospitali?
Jamani hebu tuelezeni mbona hatujui kinachoendelea baada ya Sofia Simba kuzidiwa? NAni anaweza kuwasiliana na hospitali?
Jamani hebu tuelezeni mbona hatujui kinachoendelea baada ya Sofia Simba kuzidiwa? NAni anaweza kuwasiliana na hospitali?
du wanasema ,maneno ...
Halisi
JF Senior Expert Member
What happening to SOFIA SIMBA??????
-----------------------------------------------------------------
Jamani hebu tuelezeni mbona hatujui kinachoendelea baada ya Sofia Simba kuzidiwa? NAni anaweza kuwasiliana na hospitali?
Mkuu Halisi,
Heshima mbele mkuu, mbona hupokei simu yako mkuu....., okay the dataz.... nilizozipata karibuni, ni kwamba huyu mama ni msanii at best, alikuwa haelewani kabisa na marehemu, kwa hiyo kuhofia zile za Nchimbi, na ac alipoambiwa tu kuhusu ajali hii akajifanya kuzirai na kukosa fahamu, na kujichimbia ndani ili kukwepa zile za yeye kuwa na mkono kwenye ajali,
maana wanaowafahamu vizuri, hawaelewi kitu kabisa eti kuwa amezirai kutokana na kumpenda sana, Duh wakuu wanacheka sana kusikia huo usanii, mwambieni tu aamke aingie kwenye msiba hakuna noma!
AnaumwaNaomba kujua huyu Waziri kapelekwa hospitali ipi maana mimi nilikuwa Buguruni ambako nimeshuhudia Polisi wanampiga mtuhumiwa hadharani tena kwa mashambulio kisa kakataa kutaja jina lake . Hii ndiyo Tanzania ya Kikwete .Pole Sofia Simba kwa kuumwa