What z ur embarracin moment?!

Boxer kitu gani?watu tulikuwa tunavaa V.I.P halafu ukiwaona gals unakaa uchi makusudi ili waone kama nawe una chupi!
 
Ahaaaahaaaahhh!!! Kirefu chake ikiitwa "Vaa Ibane P*mbu! Zilikuwa na tabia ya kukatika katikati,halafu kitu kinapanda juu hadi kifuani!
Kukatika katikati kumewahi kunisaidia kupandisha morali yangu nikiwa nacheza mpira kwenye mechi muhimu,kwa kadri watu walivyokuwa wananicheka kwa sababu VIP yangu ilivyopanda juu basi mie nilidhani wananishangilia hivyo kuongeza kasi,chenga na mbwembwe za mpira hadi nilipostuliwa na team mate but ilinisaidia kufunga goli moja maridadi
 
kitu vitu VIP ni noma ilikuwa inanifurahisha saa ikianza kupanda juu lazima uishushe kiaina ili watu wasigundue
 
Kukatika katikati kumewahi kunisaidia kupandisha morali yangu nikiwa nacheza mpira kwenye mechi muhimu,kwa kadri watu walivyokuwa wananicheka kwa sababu VIP yangu ilivyopanda juu basi mie nilidhani wananishangilia hivyo kuongeza kasi,chenga na mbwembwe za mpira hadi nilipostuliwa na team mate but ilinisaidia kufunga goli moja maridadi

Inaelekea wewe ni mpiga nyeto wa kiukweli.
 
My embarrassing moment ni pale Kikwete alipochaguliwa kuwa rais, haki ya Mungu sina raha na ninaona haibu yeye kuwa rais wetu, inasikitisha sana.
 
Kukatika katikati kumewahi kunisaidia kupandisha morali yangu nikiwa nacheza mpira kwenye mechi muhimu,kwa kadri watu walivyokuwa wananicheka kwa sababu VIP yangu ilivyopanda juu basi mie nilidhani wananishangilia hivyo kuongeza kasi,chenga na mbwembwe za mpira hadi nilipostuliwa na team mate but ilinisaidia kufunga goli moja maridadi

haahahaaa!! halafu ule mfereji/kamba ya kuunganisha pale chini ilikuwa ndogo mno, mara nyingi chupi langu lilikuwa linaachia.

Nilishawahi kuishonea mara kibao enzi zangu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom