What would you prefer?

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Habarini wapendwa. Nimewamiss

Jamani niko huku kijijini nikitafakari mwaka uishao na kuufikiria uanzao kwa Rehema za Mwenyezi MUNGU. Kwangu mie 2011 ni mwaka wa kipekee sana as nimeupangia kuufanya spesheli. Lakini wakati nawaza na kuwazua nimejikuta nikikumbana na vijiswali uzushi vya hapa na pale naomba tushee ili tujuzane zaidi yaliyo muhimu katika kuboresha mahusiano yetu na wenzi wetu. Najiuliza
1. Ni mwenzi wa aina gani ambaye ungependa/ anafaa kuwa naye katika mahusiano

a) Aliye wild chumbani na mpole/mkimya hadharani
b) Aliye mwenye aibu/haya za kike chumbani lakini mchangamfu -mwenye matani hadharani au
c) Aliye mkimya/mwenye aibu kote hadharani na hata chumbani?

Ninaposema mchangamfu namaanisha: Mcheshi, mwenye matani na mwongeaji kwa wote wewe, friends zako, ndugu zako e.t.c.
 
MJ1 kabla sijatoa preference yangu naomba nieleweshe by 'wild' unamaanisha nini exactly....?
wild as in romantically......or in hostility?:confused2:
 
Opssss my bad........wild inamaanisha wild romantically dia sisy..... yaani masiuala ya utundu kwenye game, uchokozi (yaani si kila siku yeye awe mgeni mwalikwa, siku nyingine naye anaalika pia) yaani that full package ya utundu
 
Habarini wapendwa. Nimewamiss

Jamani niko huku kijijini nikitafakari mwaka uishao na kuufikiria uanzao kwa Rehema za Mwenyezi MUNGU. Kwangu mie 2011 ni mwaka wa kipekee sana as nimeupangia kuufanya spesheli. Lakini wakati nawaza na kuwazua nimejikuta nikikumbana na vijiswali uzushi vya hapa na pale naomba tushee ili tujuzane zaidi yaliyo muhimu katika kuboresha mahusiano yetu na wenzi wetu. Najiuliza
1. Ni mwenzi wa aina gani ambaye ungependa/ anafaa kuwa naye katika mahusiano

a) Aliye wild chumbani na mpole/mkimya hadharani
b) Aliye mwenye aibu/haya za kike chumbani lakini mchangamfu -mwenye matani hadharani au
c) Aliye mkimya/mwenye aibu kote hadharani na hata chumbani?

Ninaposema mchangamfu namaanisha: Mcheshi, mwenye matani na mwongeaji kwa wote wewe, friends zako, ndugu zako e.t.c.
Yaani kwa mimi ni hiyo b)............Aliye mwenye aibu/haya za kike chumbani lakini mchangamfu -mwenye matani hadharani au
 
Opssss my bad........wild inamaanisha wild romantically dia sisy..... yaani masiuala ya utundu kwenye game, uchokozi (yaani si kila siku yeye awe mgeni mwalikwa, siku nyingine naye anaalika pia) yaani that full package ya utundu

Then in that case category 'a' will do me much better......:teeth::teeth:
 
Yaani kwa mimi ni hiyo b)............Aliye mwenye aibu/haya za kike chumbani lakini mchangamfu -mwenye matani hadharani au

Aksante Ngalikihinja..let me get it right......by aibu/haya za kike ni kuwa asiwe mtundu yaani mapenzi ya kitchen party sijui kukupokea na kisource cha chai.... sijui kukufunga kwa kitenge usitoke....... sema na mic na vyote hivyo asiwe navyo au?? na wala asiwe anaanzisha mchezo.
 
I prefer Aliye wild chumbani na mpole/mkimya hadharani........

Thanx dora...........as your name depict I assume you are a she........ so unapenda shem awe mpole hadharani... hata tule tuuchokozi twa siri tusiwepo ....kama kukanyagana miguu chini ya meza, au kukuprick kwenye mbavu pale ambapo watu hawawaoni yaani ungependa utundu huu uwe confidential tu kati yenu?.................... no showing off kama kukukiss hata a peck kiss?? Hivi wakaka wa hivi wapo?
 
Ohoooo Kaka Kelvin no banaa...................... sijakupa sababu ina maana we unataka wa aina zote?? you must have preference...no?

Moi like variety...you know. I get bored easily so that's why I need one with all of those attributes so she can switch it up every now and then. I am a multi faceted fella who needs a multi-dimensional woman. One dimensional won't cut it for me. Afterall who wants or likes monotony in life? Do you? I want a lady in the streets but a freak in the bedroom.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom