What would you prefer?

Yaani Wiselady my sisy nimejikuta nashindwa kujua nikitakacho ndo mana nkalileta barazani maana chumbani limekuwa zito. Au pengine inabidi wakati mnaanza urafiki muulizane kila mtu anapenda wa aina gani. Kwa sababu unawezajikuta bidada uko mpole kwa chumba but mchangamfu nje ukaonekana unafake chumbani ...... au ukawa wild chumbani mpole hadharani akakuona msanii.................... ah

Sasa dearest mi nadhani kila sekta awe wa kiasi,chumbani akifurukuta mno inaweza kuchosha,akiwa mchangamfu tena kupita kiasi napo itabore!kwa hiyo kila kitu kwa kiasi.
Tunaweza kusomana mapema tu kny dating vicharacter kama vya ucheshi,uongeaji n.k sasa hapo kwa chumba ndo itavuta kamuda lkn napo utagundua hata thru body language yake.
 
ah! Mi nshachagua tayari so hapa hapanifit hata kidogo:bump:
 
ah! Mi nshachagua tayari so hapa hapanifit hata kidogo:bump:

We nawe kwa kukimbia kivuli ah hata sikuwezi.........................haya kila la kheri na ukunguru wako. Hutaki hata kutwambia huyo ulimchagua yu koje? wild or shy? and why do you love her?( I assume you are a HE Kaizer)
 
Sasa dearest mi nadhani kila sekta awe wa kiasi,chumbani akifurukuta mno inaweza kuchosha,akiwa mchangamfu tena kupita kiasi napo itabore!kwa hiyo kila kitu kwa kiasi.
Tunaweza kusomana mapema tu kny dating vicharacter kama vya ucheshi,uongeaji n.k sasa hapo kwa chumba ndo itavuta kamuda lkn napo utagundua hata thru body language yake.

Duh so sometimes tunatake risk eh?? ...........kaazi kweli kweli
 
We nawe kwa kukimbia kivuli ah hata sikuwezi.........................haya kila la kheri na ukunguru wako. Hutaki hata kutwambia huyo ulimchagua yu koje? wild or shy? and why do you love her?( I assume you are a HE Kaizer)

Jinsia speculation MJ1 and u have been warned...assumptions are not welcome here...
 
wahindi wana msemo unasema

mioyo huwa ina kichaaa....

unaweza semaunampenda wa hivi,ukakutana na wavile ndoukazimia kabisa....

binafsi napenda machachari chumbani,lakini hadharani ajiheshimu....lakini awe social kidogo,asiwe na aibu sana...
 
Habarini wapendwa. Nimewamiss

Jamani niko huku kijijini nikitafakari mwaka uishao na kuufikiria uanzao kwa Rehema za Mwenyezi MUNGU. Kwangu mie 2011 ni mwaka wa kipekee sana as nimeupangia kuufanya spesheli. Lakini wakati nawaza na kuwazua nimejikuta nikikumbana na vijiswali uzushi vya hapa na pale naomba tushee ili tujuzane zaidi yaliyo muhimu katika kuboresha mahusiano yetu na wenzi wetu. Najiuliza
1. Ni mwenzi wa aina gani ambaye ungependa/ anafaa kuwa naye katika mahusiano

a) Aliye wild chumbani na mpole/mkimya hadharani
b) Aliye mwenye aibu/haya za kike chumbani lakini mchangamfu -mwenye matani hadharani au
c) Aliye mkimya/mwenye aibu kote hadharani na hata chumbani?

Ninaposema mchangamfu namaanisha: Mcheshi, mwenye matani na mwongeaji kwa wote wewe, friends zako, ndugu zako e.t.c.

Hoa wa kwenye bold wapo siku hizi kweli!? Mimi nawapenda kweli hao wanaokuwa na aibu mda wote, katakata nyasi unamtongoza, au uma uma vidole nk. Lakini siku hizi wanakutumbulia macho kama wanajeshi wa Hitler vile, hata shela za harusi siku hizi du!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom