MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,576
Habarini wapendwa. Nimewamiss
Jamani niko huku kijijini nikitafakari mwaka uishao na kuufikiria uanzao kwa Rehema za Mwenyezi MUNGU. Kwangu mie 2011 ni mwaka wa kipekee sana as nimeupangia kuufanya spesheli. Lakini wakati nawaza na kuwazua nimejikuta nikikumbana na vijiswali uzushi vya hapa na pale naomba tushee ili tujuzane zaidi yaliyo muhimu katika kuboresha mahusiano yetu na wenzi wetu. Najiuliza
1. Ni mwenzi wa aina gani ambaye ungependa/ anafaa kuwa naye katika mahusiano
a) Aliye wild chumbani na mpole/mkimya hadharani
b) Aliye mwenye aibu/haya za kike chumbani lakini mchangamfu -mwenye matani hadharani au
c) Aliye mkimya/mwenye aibu kote hadharani na hata chumbani?
Ninaposema mchangamfu namaanisha: Mcheshi, mwenye matani na mwongeaji kwa wote wewe, friends zako, ndugu zako e.t.c.